Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Lisu hasara kubwa sio kwake maana yeye hakua nachakupoteza kibaya ni namna alivyoshirikiana na mpuuzi wake Amsterdam kuwaharibia wenzake. Yaani kwa kifupi wabunge wa chadema wameponzwa na Lisu
 
Usipowajua watanzania watakupa shida sana
Unaweza kudhani ukimya wa watanzania ni sababu ya ujinga kama hujui vile wanaweza kukupuuza hadi ukajuta kuwafahamu. Bobu na Tundu wake wamepuuzwa.... , walisikika wakisema "huyu anatuletea habari za wazungu kila siku wakati sisi rais wetu hajaenda ulaya tangu tumemchagua na maendeleo tunapata, hata hapo kenya sijui kama ameenda"😀 hao ndio watz

Ila John Pombe Magufuli anawajua watu wake na anawapa kile wanachopenda. Watanzania wameamua kwenda na John Pombe Magufuli
CCM brainwashed. Unaweza kuwa hata milo miwili Kwa siku huna. Tunawajua sana na mko wengi. Njie nia yenu sasa ni kubadirisha narrative ati kuwa Lisu ni mtumwa wa wazungu kumbe nyie ndiyo mlipiga risasi 16 akaenda kutibiwa na wazungu, maana hapa angekufa. Hakuna hospitali ya maana.

dawa za kuwapoza ukimwi mnapewa hadi hiyo miradi wanawapa pesa hao hao wenyewe. CCM ndiyo imetufikisha hapa. Dunia nzima inashangaa
 
Nimewahi kusema hapa mara nyingi sana kuwa Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia hii ni ZERO. Aliyekuja kuwamaliza Chadema ni Lissu. Kwenye kampeni zake na speech kibao anamkandia JPM eti hajui kiingereza wakati hao raia anaowahutubia 99% hawajui kiingereza. Anadai JPM haendi nje ya nchi wakati wananchi wanataka kiongozi wa kukaa anapita kwenye maeneo yao kutatua shida zao na ndio alichofanya JPM na Majaliwa kwa miaka mitano iliyopita. Kingine ni kuweka wakili mzungu mwenye sifa mbaya sana na zile barua za vitisho kwa serikali na vyombo vya usalama,alidhani ni ujanja kumbe alikuwa anajichimbia kaburi. Kuna video moja YouTube Amsterdam anahojiwa na mtanzania aliyepo USA, Amsterdam nae anamtukana JPM kwenye video nilipoiona tu ndo nikajua naye akili zake Kama za Lissu na Lissu hata akatambike hawezi kuwa Raisi wa JMT. Aliyekuja kuimaliza CHADEMA ni Lissu. Bila Lissu angalau wangeambulia wabunge kadhaa.
there is only one narrative here, you violently stole the votes and that is an act of treason by CCM members
 
Nimewahi kusema hapa mara nyingi sana kuwa Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia hii ni ZERO. Aliyekuja kuwamaliza Chadema ni Lissu. Kwenye kampeni zake na speech kibao anamkandia JPM eti hajui kiingereza wakati hao raia anaowahutubia 99% hawajui kiingereza. Anadai JPM haendi nje ya nchi wakati wananchi wanataka kiongozi wa kukaa anapita kwenye maeneo yao kutatua shida zao na ndio alichofanya JPM na Majaliwa kwa miaka mitano iliyopita. Kingine ni kuweka wakili mzungu mwenye sifa mbaya sana na zile barua za vitisho kwa serikali na vyombo vya usalama,alidhani ni ujanja kumbe alikuwa anajichimbia kaburi. Kuna video moja YouTube Amsterdam anahojiwa na mtanzania aliyepo USA, Amsterdam nae anamtukana JPM kwenye video nilipoiona tu ndo nikajua naye akili zake Kama za Lissu na Lissu hata akatambike hawezi kuwa Raisi wa JMT. Aliyekuja kuimaliza CHADEMA ni Lissu. Bila Lissu angalau wangeambulia wabunge kadhaa.

JPM angeweza kumsamehe Lissu na may be hana shida nae kabisa

Ila wenye nchi, wananchi duni walio wengi, wafanya biashara wakubwa, matajiri, usalama wa taifa hawa walikuwa tayari kumuangusha Lissu

1.issue ya corona
2.kusimamiwa na mzungu/wazungu kwenye nchi ya mama yako mzazi ambae ni mweusi
3.kuhubiri visasi...unasema alinipiga risasi...ili ukipata urais na wewe ulipize? (Childish)
4.kukosoa mabadiliko yanayoonekana

Kwa mtu wa fursa, amani, utagundua haya mambo hakuna mfanyabiashara na wazee wa nchi ambao walikuwa tayari wampe Lissu nchi...I bet kama baba ake Lissu yuko hai nadhan hajampigia mwanae kura
 
Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
Usawa huu unadhani kuna taifa linaogopa vikwazo?. Zipo Russia, China, Iran Korea, India na nchi nyingine nyingi tutafanya nazo biashara. Waliweka vikwazo kwa Burundi havikuwahi kusaidia maana jirani zake tunafanya biashara na Burundi.
 
Mbona una na inferiority complex hivyo kama bwana yule? Kwani wewe mzungu akiwa Lawyer wangu wewe inakuuma? Wewe umewahi kujitambisha sana kuwa ati umepublish paper nyingi sana, sasa pamoja na yote hayo unajihisi very inferior kwa wazungu!

Tungekuwa na watu kama 100 aina ya tundu hapa tungekuwa mbali sana
 
At least Nigeria has intelligent population which can feed itself and has sattelite oil and an export base, but you are beggars. the biggest export is HIVand
Are you not one of them? How long have you been living with HIV?

What are the status of your parents?

Can you go and live in Nigeria?

Change your mindset, you are sick and disgusting
 
Thanks Sky! Halafu mtu hana exposure wala uelewa wa mambo anajitokea huko anawaaminisha watu Amsterdam hajui anachofanya,Seriously? Safari hii tutaelewana-US ameshatoa carrots za kutosha,now ni stick mpaka tufike mahali tuzungumze lugha moja,haiwezekan mtu anatokea na kuanza kusema wapinzani wasiombee vikwazo visije sababu na wao wataumia, tokea lini wapinzani wamekuwa na furaha nchini mwao? Now tuumie wote ili tuelewane kwa pamoja.
Hii ndoto nayo haitatimia kama ile ya tarehe 28 October
 
Mbona una na inferiority complex hivyo kama bwana yule? Kwani wewe mzungu akiwa Lawyer wangu wewe inakuuma? Wewe umewahi kujitambisha sana kuwa ati umepublish paper nyingi sana, sasa pamoja na yote hayo unajihisi very inferior kwa wazungu!

Tungekuwa na watu kama 100 aina ya tundu hapa tungekuwa mbali sana

😂😂😂 Inaonyesha mpaka wafuasi wake ni waongo

1.sijawahi kusema unacho claim, weka uthibitisho
2.lawyer wa kizungu kwa mtu anayetakiwa kuingia ikulu? Ikulu ya wananchi that had bad image kwa jamii
3.kashindwa
4.kashindwa

Ongea yoote ila kashindwa,
 
Usawa huu unadhani kuna taifa linaogopa vikwazo?. Zipo Russia, China, Iran Korea, India na nchi nyingine nyingi tutafanya nazo biashara. Waliweka vikwazo kwa Burundi havikuwahi kusaidia maana jirani zake tunafanya biashara na Burundi.
Russia hana pesa. China atakuvua suruali North Korea kuna njaa ya kufa mtu. Iran- my foot! Hivi wewe unajua geopolitics za sasa hivi, au ndiyo walewale? Hujui kitu. Kwenye internen siyo kuangalia porn tu unaweza kupata elimu kubwa.
 
😂😂😂 Inaonyesha mpaka wafuasi wake ni waongo

1.sijawahi kusema unacho claim, weka uthibitisho
2.lawyer wa kizungu kwa mtu anayetakiwa kuingia ikulu? Ikulu ya wananchi that had bad image kwa jamii
3.kashindwa
4.kashindwa

Ongea yoote ila kashindwa,
Personal secretary wa Nyerere alikuwa mzungu hadi anakufa kafia Tanzania. President wa Zambia alikuwa mzungu.

you once upon a time said you are a masters what did you read and research ?
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Kumbe hawezi kitu bila ya kuwapigia magoti hao wazungu wenzie,pathetic
 
Personal secretary wa Nyerere alikuwa mzungu hadi anakufa kafia Tanzania. President wa Zambia alikuwa mzungu.

you once upon a time said you are a masters what did you read and research ?

Sio amsterdam wewe mburula the guy who has bad reputation dunia nzima

Nyerere hakwenda nje walikuwemo humu eboo!!

Haya Lissu rais
 
  • Kicheko
Reactions: Ole
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom