Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.Huwa wanajibu hizo barua au wanatekeeza tu?!
Jumuiya hizi hazina msaada wowote, mpaka muanze kuuana.
Hivi kimya kimya mtasubiri sana.
Tutatumia pesa zetu sisi ni dona kantre hatulambi miguu ya mabeberu kama vibaraka wao.Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Na korona hii sijui kama wanatekeleza ahadi hiyo!Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Wewe ropoka mapovu tu, mwenyekiti wako sasa hivi anaumiza kichwa akakope wapi amalizie SGR, nyie midoli mna tabu sana.Huyu muhuni kacharazwa hadi hajui la kufanya
Jumuiya ya madola waishie uko uko, watuache na amani yetu waTanzania
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba.Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.