Ni risasi 16Yeyote yule mtetea HAKI za wanyonge ni adui wa CCM. kosa la Amsterdam ni kukubali kwake kumtetea kisheria Tundu Antipas Lissu aliyepigwa risasi zaidi ya 30 ili aweze kupata HAKI zake kama mtanzania.
CCM walitaka Lissu arejee nchini bila usaidizi wowote ule wa kisheria duniani, nafikiri wote mnajua ni kipi ambacho kingekuwa kimeshampata so far.
jumlisha na zile zilizomkosa kosa !! afu eti bado wanamsubiri dereva wake arudi ndiyo upelelezi uendelee.Ni risasi 16
Zilizomkosa hazikumpiga.jumlisha na zile zilizomkosa kosa !!
Nafasi ya uraisi kwa mwanamke bado sana, makamu wa raisi ni ceremonial tu.Mama Samia ni Rais wako
Mkuu ulishawahi kukoswa koswa na risasi walau moja maishani mwako?Zilizomkosa hazikumpiga.
Kwani kamanda msaliti alituambia solution gani la hizo changamoto? Yeye si alikuwa anahubiri ushoga tu akidhani hilo ndilo hitaji letu. Kwani ushoga ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili vijana?
KUMBE umeandika UPUUZI.....sawa...AHSANTE KWA TAARIFA
Walivyo desperate, si ajabu wakaanza huo upuuzi wa twende na Amsterdam.
Mie sio jambazi risasi zinifate za kazi gani? Nilikuwa tu narekebisha kiswahili ulivyosema kapigwa risasi 30...zilizompata ambazo zimempiga ni 16.Mkuu ulishawahi kukoswa koswa na risasi walau moja maishani mwako?
Na mie nimeshangaa...PLATINUM MEMBER UNAANDIKA UTOPOLO.
Nilitegemea uwe kiongozi mwenye kuleta mada zinazojenga Taifa , zenye Fikra chanya na zenye faida kwa nchi.
Unashindwa kuandika changamoto zinazowakabili vijana na soluhisho lake?
changamoto za maji na tiba yake.
BADALA YAKE UNAJIKITA KUANDIKA UTOPOLO
KAZI IPO.
navyokuona wewe ulivyo, hiyo risasi moja tu ya SMG Ikipita mita sita off you .... ni lazima haja zote zitoke bila ushirikiano.Mie sio jambazi risasi zinifate za kazi gani? Nilikuwa tu narekebisha kiswahili ulivyosema kapigwa risasi 30...zilizompata ambazo zimempiga ni 16.
Hayo mengine wala simo..mi sijui lolote
Hayo mambo ya risasi za lissu sipo tayari kubishana maana sijui chochote, walio tayari na ubishi watakuja mbishane.navyokuona wewe ulivyo, hiyo risasi moja tu ya SMG Ikipita mita sita off you .... ni lazima haja zote zitoke bila ushirikiano.
Ndiyo maana tunasema mwambie babako achunguze ni kina nani hao wahuni walitaka kuyakatisha maisha ya Lissu?
Na yeye Lissu hana kosa kutafuta usaidizi wa kisheria popote pale duniani ukizingatia haya yote yaliyomkuta - Amsterdam ni mtu muhimu sana kwa Lissu na kwa sisi watanzania wapenda haki.
Defence mechanism!Kwa wanaonielewa humu [ambao ni wachache sana], wameshanielewa kwa nini nimeanzisha hii mada!
Kuua Upinzani,Kubana demokrasia,kuleta hali ngumu ya maisha,kubana haki za watumishi,n.k.Huyu aliyepo ni dume amefanya nini cha maana?
Ok!,nasubiria kwa hamu siku hiyoIpo siku dunia itakushangaza
Kama hairuhusu basi agombee urais kwenye ile Jamhuri ya Twitter.Sheria inaruhusu asiye raia kugombea?
Bob ni kiboko ya madikteta na mkakati wa dunia ni kuyashughulikia madikteta maana sababu ya ukosefu wao wa malezi Bora utotoni unapelekea mabeberu kuingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi.Madikteta yanaamini huwezi leta maendeleo bila kuuwa watu.Kama hairuhusu basi agombee urais kwenye ile Jamhuri ya Twitter.
Haya. Wewe jikite huko unakotaka kujikita.Nadhani badala ya kujikita kumtaka ndo agombee tungejikita kujiuliza why ndani ya nchi yetu hatuna platform ya watu kuweza kudai haki yao pale wanapohisi mchakato wa uchaguzi wa rais haukuwa wa haki kwako.
Kabisa comradeKuua Upinzani,Kubana demokrasia,kuleta hali ngumu ya maisha,kubana haki za watumishi,n.k.