Kama kwa "hasara," unamaanisha kukosa sera za maji-taka, vurugu, ukuwadi, kuwagawa Watanzania vipandevipande kama twiti za Amsterdam, na kupinga kila kitu, basi jibu ni NDIYO YENYE HARUFU & HERUFI KUBWA.
Those guys never take advice and never do they learn anything worthwhile, especially now that the election campaigns are over and another one is yet way ahead. Ukisikia watu wa matukio ndio hao jamaa. Hawanaga mipango yao, ila wanajua tu kutegea na kumendea mipango ya wengine ili kuikosoa, kuikatakata, kuipaka matope, kuipindisha, kuipindua, kuipangua na kuipinga.