Amsha Amsha Simba Day mwaka huu si Mchezo

Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo.

Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha kubwa nchini.

Kila Kona ni Simba Day. Natamani ifike hiyo tarehe 19 tukuburudike wana msimbazi.

Msukule anateseka akiwa wapi sijui
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Hovyo hovyo kabisa,hakuna hamasa yoyote
 
Yaani sio mchezo na yale matangazo kwenye clouds tv na wasanii, kwakweli tamasha letu litakuwa zaidi ya Fiesta
 
Back
Top Bottom