Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
618
Reaction score
726
AMRI YA MUNGU.png
 
Mm huwa simpi hongera aliyezaa mtoto. Natoa hongera kwa aliyejipanga kulea mtoto kwa mafanikio, yaani amejenga, amewkeza, na ana akaunti nono ya fedha benki na amekata bima daraja la kwanza ndipo akazaa.

Lkn kuna hizi mbwa zinapongezana kwa kuzaa huku akiwa hana security ya watoto wake endapo atafikwa na umauti, yaani anaishi kwa kuokoteza fedha kwenye biashara, mshahara, ama bodaboda.
 
Mkuu hizo tabia wanazo Hawa raia WA wilaya ya kondoa .Wanaiywa warangi Hawa jamaa fuse kichwani hamnazo

Kuna huyu mwamba kutwa nzima kuzalisha dada yangu Huku wajomba zangu Hawa kutwa nzima wanashind n njaa bila sababu za msingi.

Kibaya SASA mkuu mbegu zake NI za mashetani.Mjomba NI mama pia SASA inatokea una waonea huruma Basi unatoa hela ya Kula ajabu NI kwamba toto likishiba Tu ndo basi tena kusikia halisiki ,kiburi mtindo mmoja mpaka kero.
 
Umenena vyema mkuu.
 
Dah! Haya mambo yanaumiza sana mkuu. 💊
 
Dah! Haya mambo yanaumiza sana mkuu. 💊
Acha Tu mkuu.

Just image mdada anampenda mkaka kwasababu NI light skin(mweupe) bila kujua tabia alizonazo.

MWISHO WA siku tunaleteana mbegu za mashetani ndani ya ukoo
 
Madada huwa wanazingua sana, ila ndivyo walivyo hao viumbe wa mwenyezi Mungu (ingawa sio wote)😂😂😂
 
Back
Top Bottom