Amri saba kwa wapendao ofa

Amri saba kwa wapendao ofa

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofa
4.Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
5. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
6. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
7. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
 
kwa mtndo huu! utumwa haujakomeshwa bado.
 
Heshimu hitaji la mtoa ofa hata kama lipo juu ya uwezo wako....

"Mla cha mwenzake na chake huliwa"


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
8. Kama bia za mtoa ofa zikiisha wewe ndo unatakiwa uwe unamfatia baa ya jirani, siyo weita. Ukigoma ofa inasitishwa
 
Nimeamini kila jambo lina namna yake ya kulifanya kwa weledi na sio kulivamia tu.
 
msifie sana maisha yake na kila anacho kifanya hata kama hakina maana utumwa shida sana unakuta mara anakutuma ukamtongozee dada ako
 
Muheshimu anayekununulia Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofa.Mtoa ofa akikutuma popote usikatae Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa[ Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogo Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom