Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Popote ulipoMafia ndio nini mkuu. Wako wapi duniani
Asante. Jibu mzuriPopote ulipo
Acha kumdanganya mwenzako,kama huji usingelipoteza muda wako kwa kumpotosha mwenzio,...Popote ulipo
Mafia ni vikundi vya uhalifu "Organised Crime",ambavyo vina mikataba na katiba ya kujiunga katika hivyo vikundi,hivi vikundi vilianzinia Italia,...wakati wataliana wanahamia Marekani wakahamia na uhalifu wao..Mafia ndio nini mkuu. Wako wapi duniani
Mkuu,Mafia na mikataba na katiba zao,ndio maana hivi vikundi vinaitwa "Organised Crime",moja katika mkataba wa kuwa Mafia ni omertà "code of silence",..yaani kwa chochote kwa vyovyote hata uko katika hali ya kupoteza Maisha huwezi kutoa siri ya kikundi chako,kama utatoa siri wewe,mama ako,baba ako,shangai,mbwa wako,paka,..nk wote watakuwa "eliminated",watapotezwa..Mafia,Ndranghetta,Cosanostra zama zao zimeisha kwasasa Top heads wengi wako gerezani,wamekufa or on the run(fugitive). Vibaraka waliobakia wanaishia kuuana tu na ku-Snithch-iana.
No wonder wengi humu hawajui kitu kuhusu mafia.
Hakukuana sheria zilizoandikwa chini na inategemea wewe umechukua website gani iliyocompile hizi mambo.
Ni conducts tu zilizopelekea hizo mnazoziit sheria leo,but hakukua na sheria.
Nakuambiaje iyo ni pledge of alliance,na hio ni kwa american mafia from italy,au italian mafia in italy (naples,sicily etc)mimi ni fanatic wa organized crime from mafia to jewish and irish gangs, from al capone to john gotti. Katiba,mikataba ya kuandikwa hamna bali kuna codes of conduct,hizi tunaziona leo ni compilations za websites tu, the closest they come kupata hata kurasimisha,kuset rules ilikua "The botched Mafia Meeting in the Appalachians" in 1957.Mkuu,Mafia na mikataba na katiba zao,moja katika mkataba wa kuwa Mafia ni omertà "code of silence",yaani kwa chochote kwa vyovyote hata uko katika hali ya kupoteza Maisha huwezi kutoa siri ya kikundi chako,kama utatoa siri wewe,mama ako,baba ako,shangai,mbwa wako,paka,..nk wote watakuwa "eliminated",watapotezwa..
Wazee mpo vizuri sanaNakuambiaje iyo ni pledge of alliance,na hio ni kwa american mafia from italy,au italian mafia in italy (naples,sicily etc)mimi ni fanatic wa organized crime from mafia to jewish and irish gangs, from al capone to john gotti. Katiba,mikataba ya kuandikwa hamna bali kuna codes of conduct,hizi tunaziona leo ni compilations za websites tu, the closest they come kupata hata kurasimisha,kuset rules ilikua "The botched Mafia Meeting in the Appalachians" in 1957.
Mi nimesoma sana bout this.Wazee mpo vizuri sana
Anzisha uzi kak utupe elimu juu ya hivi vikundi..ukiuweka ntagMi nimesoma sana bout this.
Nenda google ukasome mzee,utakutakila unachotaka , im busy for charity work!!Anzisha uzi kak utupe elimu juu ya hivi vikundi..ukiuweka ntag
BaaahNenda google ukasome mzee,utakutakila unachotaka , im busy for charity work!!
John gotti. Mkuu nipe ABC's kidogo hapaNakuambiaje iyo ni pledge of alliance,na hio ni kwa american mafia from italy,au italian mafia in italy (naples,sicily etc)mimi ni fanatic wa organized crime from mafia to jewish and irish gangs, from al capone to john gotti. Katiba,mikataba ya kuandikwa hamna bali kuna codes of conduct,hizi tunaziona leo ni compilations za websites tu, the closest they come kupata hata kurasimisha,kuset rules ilikua "The botched Mafia Meeting in the Appalachians" in 1957.
Mkuu,kuna katiba na mikataba,kuna mchangio wa kila mwanachma kuchangia kiwango fulani cha pesa katika kikundi chake,malipo hayo yanatafautiana vipi mwanacama analipa kutoka kikundi na kikundi mwanachama atalipa vipiNakuambiaje iyo ni pledge of alliance,na hio ni kwa american mafia from italy,au italian mafia in italy (naples,sicily etc)mimi ni fanatic wa organized crime from mafia to jewish and irish gangs, from al capone to john gotti. Katiba,mikataba ya kuandikwa hamna bali kuna codes of conduct,hizi tunaziona leo ni compilations za websites tu, the closest they come kupata hata kurasimisha,kuset rules ilikua "The botched Mafia Meeting in the Appalachians" in 1957.