VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 617
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini
usimkatishe mazungumzo anaetoa ofa
. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza
kucheza kwa bidii kabisa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda
madogomadogo
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata
kama hakichekeshi