Amri kuu kuliko zote ni upendo!Hii amri ukiisikia unaweza kuona ni ndogo lakini ni kubwa sana. Mpendane kama nilivyowapenda mimi. Inamaana tukipendana hatuta; ibiana, sema uongo, tamani wake na waume wa wengine, sengenyana, logana, oneana wivu nk.
Nilijaribu kupenda walionizunguka kama ninavyojipenda mimi. Ni ngumu lakini Catharine zake zinauma zaidi. Maumivu ya mtu uliemoenda kama nafasi yako akijusengenya unauma kuliko kusengenywa na Tom and Harry.
Nisikiavyo huko mbinguni haya ndiyo maisha wanayoishi waliofanikiwa kupata mwaliko wa karamu. Ni upendo wa agape masaa 24 na kumtukuza Mungu.
Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Wangapi tuko hivyo. Kama hata viongozi wetu wanaojiita wa dini ni "mashetani", nani atasalimka siku ya hukumu!Alisema wakati anapaa kuwa hii ndiyo amri mpya na kuu anatuachia.
Tumesahau kuwa duniani tunapita tu, madaraka na mali tutaviacha. Upendo unanguvu sawa na moto, jinsi moto unavyoivisha chakula na kuua vijidudu vinavyokushambulia.Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Wangapi tuko hivyo. Kama hata viongozi wetu wanaojiita wa dini ni "mashetani", nani atasalimka siku ya hukumu!
Wife nilikushauri upunguze wine ukagoma... ona sasa..
Hubby hizi wine uwe unaangalia volume kabla hujaninunulia, ninakunywa glass moja tu kumbe volume ni 14%Wife nilikushauri upunguze wine ukagoma... ona sasa..
Pods = Mods
Mnisudue = mnisaidie
Nimekusahihisha kwa upendo kama amri inavyonitaka.
Shkamoo mke
Hahahhh ni ile device ya tunda la apple huwa inauchokozi utakuta umeandika ndivyo sivyoWife nilikushauri upunguze wine ukagoma... ona sasa..
Pods = Mods
Mnisudue = mnisaidie
Nimekusahihisha kwa upendo kama amri inavyonitaka.
Shkamoo mke
Kumbe tena? Khaa!Hahahhh ni ile device ya tunda la apple huwa inauchokozi utakuta umeandika ndivyo sivyo
Upo hivi kumbe
Shikamoo ya mwaka jana na mwaka huu mupiya.
Umejichanganya mwenyewe... badala ya kunywa divai we umebugia Konyagi. Upendo wa Konyagi ni kuongea kiingereza kigumu...Hubby hizi wine uwe unaangalia volume kabla hujaninunulia, ninakunywa glass moja tu kumbe volume ni 14%
Hahah Sky Eclat ametuagiza tutii Amri aliyotuachia 'Tupendane tuzidishe Upendo'Kumbe tena? Khaa!
Afu kuna mtu alinidanganya umenipotezea mazima.. .. kumbe bado unanipenda.
Marahaba ya mwaka kesho. Usisahau kunipa kura yako mwakani. Nimepanga kuwa kiongozi wako.
Hahahh macho yakaona dublidubli.Hubby hizi wine uwe unaangalia volume kabla hujaninunulia, ninakunywa glass moja tu kumbe volume ni 14%
Shukran mkuu lakini sikujua kuwa kuna survey ya warekebisha headings πHivi madame, have you ever noticed kwamba unaweza kuwa unaongoza kwa kuwaomba mods wabadili heading?
I advise you to proofread some of your write-ups before you command the last icon.
Ewaaa... ila kwenye kampeni uwe makini. Siku hizi kuna risasi zina upendo... zinalengwa kwa mwingine lakini zinakata kona zinakufuata popote ulipo zinakudedisha. Aliyefyatua risasi anapandishwa cheo na aliyedhamiriwa kucharazwa anawekwa rumande.Hahah Sky Eclat ametuagiza tutii Amri aliyotuachia 'Tupendane tuzidishe Upendo'
Kura yangu umeipata na kampeni nitakusaidia kupiga domo kaya!