Kweli mkuu niliwaza tuu kwa kinywa kwa mfanoHakuna aliyemumunya maneno mkuu ila si unajua u prezdaa ni zaid ya hivyo eeee
Sema haki ya mungu[emoji134]acha ujinga, anachokifanya hapo si sahihi mtu anatakiwa ku behave kulingana na status yako. hapo naona kawa kama kituko
Mpe heshma yake mkuu ukatae usikatee ndo hivyo tena ishakuwa,Rais Katuni.
Heshima inatolewa kwa anayejiheshimu.Mpe heshma yake mkuu ukatae usikatee ndo hivyo tena ishakuwa,
Si kazi ndogo hata kidogo.Kwi kwi mkuu umenichekesha sana! Ila kiukweli kazi tunayo hapo ujue!
Thubutu yake,hao 'anawahanya'.Vipi kwenye hotuba yake hakuongea kama alivyoongea Kagera!?
Hayo mapichapicha ndilo tatizo.ili iweje kwan gwaride linahitaji ukemia ukuu
Hayo mapichapicha ndilo tatizo.
JamaniiHaha! Mwamnyange anamcheki anajisemea moyon huyu kweli PhD inamsumbua
[emoji87] [emoji87] [emoji13] [emoji13]lakucha meku