Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Membe njoo utukomboe watanzania.1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe.
2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au bodaboda kuku wewe.
3.Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa nyumba za kulala wageni, tafuta jina bandia, andika hata Kinjekitilie Matinginya ng'ombe wewe.
4. Funga chumba na funguo kwa ndani ikiwemo komeo, ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo mbuzi wewe.
5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume kuangalia usalama, baada ya dakika 10 ukiona usalama, ndipo umruhusu mchepuko naye atoke, wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha nyumbani panya wewe.
6. Mungu akuumbue, ukamatwe na upigwe hadi ufe pumbavu wewe. Kwani wanawake wengine hujawaona mpaka udandie mke wa mtu? [emoji13] nyau wewe
Hahhahaha!! Nimehifadhi hiyo..Umeua mkuu,inaonekana wewe ni super expert..Ya 9.mpoteze maboya kama amekuset udakwe unampa option ya kuchagua chimbo then siku ya tukio ukikutana nae unabadilisha eneo chapu unachukua simu unazima hafu unapotea nae
Ya 7 ni hakuna kulala na manzi mmoja mara mbili [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa iyo mtekaji anakuwa ametekwa yy!!!Ya 9.mpoteze maboya kama amekuset udakwe unampa option ya kuchagua chimbo then siku ya tukio ukikutana nae unabadilisha eneo chapu unachukua simu unazima hafu unapotea nae
13.Ufe na ugonjwa wa Ukimwi, plus ebola ili uonekane shujaa kwa kila corner ata ukienda jahanam uwaadisie wenzio1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe.
2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au bodaboda kuku wewe.
3.Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa nyumba za kulala wageni, tafuta jina bandia, andika hata Kinjekitilie Matinginya ng'ombe wewe.
4. Funga chumba na funguo kwa ndani ikiwemo komeo, ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo mbuzi wewe.
5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume kuangalia usalama, baada ya dakika 10 ukiona usalama, ndipo umruhusu mchepuko naye atoke, wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha nyumbani panya wewe.
6. Mungu akuumbue, ukamatwe na upigwe hadi ufe pumbavu wewe. Kwani wanawake wengine hujawaona mpaka udandie mke wa mtu? π nyau wewe