Amri 10 za uzinzi

Amri 10 za uzinzi

1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe,

2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda..... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

3. Usiandikishe jina lako halisi katika kitabu Cha wageni guest. Tumia hata jina bandia, jiite hata Kinjikitilelo Mwamunyetoko, .[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

4. Funga mlango na funguo kwa ndani ikiwezekana ongeza na komeo. Ziba kitundu Cha funguo kwa nguo, watakuchungulia, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke kwa pa1 ikiwezekana mwanaume tangulia nje uangalie mazingira ya usalama Kisha ndio umtext mwanamke atoke wakat huo umeshamwandalia usafiri tayari, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

6. Usimwambie mtu yeyote kuwa unatembea na mke wa mtu,[emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943]

7. Usipite sehem za wazi kwenye watu wengi kama vile bar, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

8. Ukiona upo sehemu halafu mtu anawaangalia na kuonesha dalili kama za kuwashtukia, achana na mawazo ya uzinzi kimbia hata vichakani, M[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

9. Usikubali kuwasiliana nae kwa njia ya sms au whatsap inaweza kuwa Ni ushahidi tosha. Mawasiliano yote yawe ya kuongea tu, e[emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944]

10. Sehem moja ukienda usiirudie Tena. Mkipanga kukutana guest flan, akifika badilisha mawazo, hama mtafute sehemu nyingine, kuwa mtu wa machale, m[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]View attachment 1273064
Asante mkuu kwa kanuni bora kabisa
 
Sawa tumekusikia
1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe, pundamilia wewe![emoji3070][emoji3070]

2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda..... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

3. Usiandikishe jina lako halisi katika kitabu Cha wageni guest. Tumia hata jina bandia, jiite hata Kinjikitilelo Mwamunyetoko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

4. Funga mlango na funguo kwa ndani ikiwezekana ongeza na komeo. Ziba kitundu Cha funguo kwa nguo, watakuchungulia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke kwa pa1 ikiwezekana mwanaume tangulia nje uangalie mazingira ya usalama Kisha ndio umtext mwanamke atoke wakat huo umeshamwandalia usafiri tayari[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

6. Usimwambie mtu yeyote kuwa unatembea na mke wa mtu[emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943][emoji2943]

7. Usipite sehem za wazi kwenye watu wengi kama vile bar [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

8. Ukiona upo sehemu halafu mtu anawaangalia na kuonesha dalili kama za kuwashtukia, achana na mawazo ya uzinzi kimbia hata vichakani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

9. Usikubali kuwasiliana nae kwa njia ya sms au whatsap inaweza kuwa Ni ushahidi tosha. Mawasiliano yote yawe ya kuongea tu[emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944][emoji2944]

10. Sehem moja ukienda usiirudie Tena. Mkipanga kukutana guest flan, akifika badilisha mawazo, hama mtafute sehemu nyingine, kuwa mtu wa machale[emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379][emoji1379]View attachment 1273064
FB_IMG_1574582057104.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom