buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 630 Reaction score 511 Jun 9, 2019 #41 bado ni mgeni mi nimecover kwenye electrical installation Ila nataka na electronic niwe najua Transistor said: Umesha wahi kujifunza katika level yoyote angalau basic Click to expand...
bado ni mgeni mi nimecover kwenye electrical installation Ila nataka na electronic niwe najua Transistor said: Umesha wahi kujifunza katika level yoyote angalau basic Click to expand...
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 38 Jun 9, 2019 Thread starter #42 Mkuu nahitaji kujifunza kuhusu amplifier za transistor mkuu nahilaji msaada wako Transistor said: Umesha wahi kujifunza katika level yoyote angalau basic Click to expand...
Mkuu nahitaji kujifunza kuhusu amplifier za transistor mkuu nahilaji msaada wako Transistor said: Umesha wahi kujifunza katika level yoyote angalau basic Click to expand...
Transistor JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,061 Reaction score 1,639 Jun 9, 2019 #43 buyoya419 said: bado ni mgeni mi nimecover kwenye electrical installation Ila nataka na electronic niwe najua Click to expand... Siyo mbaya nitakuunga na group la wanafunzi wanao anza mwanzo yaani basic electronics chukua namba unicheki watsup 0629068815.
buyoya419 said: bado ni mgeni mi nimecover kwenye electrical installation Ila nataka na electronic niwe najua Click to expand... Siyo mbaya nitakuunga na group la wanafunzi wanao anza mwanzo yaani basic electronics chukua namba unicheki watsup 0629068815.
Transistor JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,061 Reaction score 1,639 Jun 9, 2019 #44 zakayoyoung said: Mkuu nahitaji kujifunza kuhusu amplifier za transistor mkuu nahilaji msaada wako Click to expand... Unaweza ukapata ufahamu zaidi ya hapo usijilimit boss chukua namba nitakuunga katika wanafunzi wa basic
zakayoyoung said: Mkuu nahitaji kujifunza kuhusu amplifier za transistor mkuu nahilaji msaada wako Click to expand... Unaweza ukapata ufahamu zaidi ya hapo usijilimit boss chukua namba nitakuunga katika wanafunzi wa basic
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 38 Jun 9, 2019 Thread starter #45 Tiyari nimeshachuku Namba yaku nimekutumia text wasapu namba yangu imeishia 89 mkuu Transistor said: Unaweza ukapata ufahamu zaidi ya hapo usijilimit boss chukua namba nitakuunga katika wanafunzi wa basic Click to expand...
Tiyari nimeshachuku Namba yaku nimekutumia text wasapu namba yangu imeishia 89 mkuu Transistor said: Unaweza ukapata ufahamu zaidi ya hapo usijilimit boss chukua namba nitakuunga katika wanafunzi wa basic Click to expand...