Ampiga Mume wake kisa Kuichagua CCM

Jukwaa limevamiwa ,pathetic
 
Huu upupu muwe mnadanganyana hapo ufipa
Kiukweli huku mtaani hali ni ngumu sana yani mpaka mataga yamwvurugwa yananuka midomo hayaanini so kwa njaaa hiii
Kuna mataga mmoja hupo tamisemi ananjaa mpaka mke ana danga
 
Huyo mama namfananisha na Lawino wa kwenye kitabu cha Songs of Lawino and Okol.
 
Kuwa Chadema unatakiwa uwe na akili kama huyu mama ndicho nilichokiambulia katika uzi wako
 
Shirika lenyewe liko ICU linajiendesha kwa ruzuku sasa hizo kodi zinatoka wapi. Kuficha aibu, CAG haruhusiwi kukagua mahesabu ya shirika. Idadi ya wale unaoweza kuwadanganya inapungua kila uchao.
 
Hivi kwa nini Wana CDM wanapenda sana mfujo!? Mfano mzuri huyo Mama aliyemfanyia fujo Mumewe kisa tu hajawai kupanda Ndege!?
 
Hapo kwa haraka haraka tatizo sio chama tatizo mama D ni mke mkubwa alafu uyo mama wa jirani ni mke mdogo wa baba D, inaonekana kuna kawivu kanaendelea hapo
 
Mwambie mama D aagize Champagne nakuja kulipa.
Ana akili kubwa huyo mama, siyo Kama huyo pimbi, dume suruali, msukule wa sisiemu


Wewe umefurahia kipigo ama?
Mimi sijafurahishwa na maneno ya Mama D, kauli"ukoo mzima haujawahi kupanda ndege" haijanifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…