Wapo wengine ving'ang'anizi hata ajibiwe vipi yupo kama Luka wa jua kali, wapo wengine anakataliwa mwanamke anaolewa lakini yeye anafuatiliaga tuUnayosema ni sawa. Lakini kwa nini aendelee kula mali zake huku hana hisia nae. Si aende huko kwenye hisia zake zinamwelekeza!
😂😂😂 sawaKakosea😂
Sasa ukiendekeza taamaa zako eti kisa Mapenzi Sasa utatangatanga kwa wangapi!? Sometimes mjifunze ku compromise Kama sisi Wanaume tunavyofanya! Alafu usichanganye mapenzi na matamanio,hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa!!!Mapenzi hayapo hivyo na unaelewa.
Unaweza ukampenda mtu vizuri ila baadae unaona huyu hakufai kutokana na sababu mbali mbali.
Sasa huwezi nilazimisha nisikuache kisa tu umenisomesha. Nakuacha naenda kwa ambaye ana muelekeo ninaoutaka.
Tatizo lako wwe hujibu kwa hoja,unajibu kwa Shari Kama vile unahasira na Wanaume wote humu!!Kulipwa hutalipwa hasara ni kwako. Ukitaka kulipwa muandikishane kabla ya kumsaidia.
Bila kufanya hivyo hata uende mahakamani hutashinda.
Hoja gani zaidi ya hiyo niliyosema mkuu? Sina tatizo na wanaume wote, na ukichunguza sana utagundua kuwa nawapenda sana hawa viumbe wanaoitwa wanaume.Tatizo lako wwe hujibu kwa hoja,unajibu kwa Shari Kama vile unahasira na Wanaume wote humu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Haya kaka, endeleeni kutusomesha.Sasa ukiendekeza taamaa zako eti kisa Mapenzi Sasa utatangatanga kwa wangapi!? Sometimes mjifunze ku compromise Kama sisi Wanaume tunavyofanya! Alafu usichanganye mapenzi na matamanio,hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Jamaa alimpa za kichwa huku anarekodi. Hasira aliyokuwa nazo si za nchii hii. Kiukweli inauma mtu anakua, bia wewe SI level yangu.Sms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
[emoji23][emoji23]Mchumba ana someshwa masomo ya dini tuu hata akikutema ataenda kumtumikia Mungu
Ila jamaa angalau amekuwa mkweli kuwa huyo njemba mwengine hana kosa lolote. Yeye kadeal na muhusika mkuu.Sms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Kama unawapenda nafikiri ungejaribu kuwa "objective". Mimi sitetei kuuwawa huyo binti. Kitendo chochote cha kuondoa uhai wa binadamu lazima kipingwe kwa nguvu zote.Hoja gani zaidi ya hiyo niliyosema mkuu? Sina tatizo na wanaume wote, na ukichunguza sana utagundua kuwa nawapenda sana hawa viumbe wanaoitwa wanaume.
Habari Yako haijakamilika... WAPI YAMETOKEA HAYO?Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat
Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.
Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua. [emoji15]