PreGE2025 Amos Makalla: Hata ungepost Mamilioni ya post 'No Reform, No Election' haisadii, Uchaguzi uko pale pale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.

Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.

Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.

"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."

NO REFORMS, NO ELECTION
 
Na sisi tunamjibu kilaza bwana mdogo makala kwamba hata kama atasema uchaguzi uko pale pale mara milioni,ss tunamwambia huyu bwana mdogo makala kwamba NO REFORMS NO ELECTION Iko pale pale.Aelewe hivyo muda haugandi.ila asikimbie hilo ndio la msingi maana ss tumechoka sana kuibiwa na tunasema imetosha.
 
CCM Wamekuwa wajinga mno, wanafikiri hii nchi ni mali yao, kwamba wanaweza kufanya chochote, na hizo post mnazosema mama kafanya, kafanya nini, ni kodi zetu bwana zimefanya, tena mmeiba sana. hatutaki mauongo ya 1970+ kuwa serikali hivi, serikali vile, upinzani ukichukua dola vita itakuja.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.

Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.

Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.

"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."

Huyu anatia na kuaibisha elimu yake 🤢 🤮
 
Mbona kama analialia?
No reforms no election ndiyo agenda ya kitaifa.

Hicho ni kiburiii
 
Kiburi wamejaa wakavembewa wakamdharau aliyewapa ajira , yaani bana mange anayo hoja , yaani weka kiongozi akileta ujinga mtoeni fasta, ziwepo kura za kuwa atoke basi kwani anang'ang'ania kwani kazi ni yake, umempatia mtu KAZI Halafu anakomaa kuwa hawezi Toka so Kama huna ridhika Naye mtoe uingize mwingine
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.

Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.

Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.

"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."

Hafaham umuhimu wa social media in digital erra, na so far chama chake kimeshapoteza hiyo battle
 
92821eb4-36ac-4d29-b67f-3750bff121e4_1600x900.jpg
 
Huo ndo ukweli njia pekee ya kuzuia ingia barabarani uandamane
 
Back
Top Bottom