Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye kuthibitisha uhalali wake

Makalla ameyasema hayo leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma baada ya kuulizwa kuhusu barua inayosambaa mtandaoni ya Polepole.

Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

Amesema endapo atathibitisha kama ni ya kwake maudhui ni ya kwake ni utashi wake lakini ambalo limemfurahisha ni kwamba amemalizia kwa kusema atabaki kuwa mwanachama muadilifu wa CCM


 
🤣🤣🤣🤣
Chadema wote wamekuja mbio kushangilia na mathreads kibaaaao ya kumpongeza pokepole.........Raha thana aiseee!!!
Oya ni hatari afu tatizo ni kwamba watu hawaja isoma ile barua wanacho shangilia ni kusikia kajiuzuru niaibu
 
Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
😀😀😀😀😀Wanatuona wananchi km matako yaoooo
 
Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Samia siyo mmiliki wa chama, hilo lisahihishwe. Kuna namna fasihi ilikupita kushoto ukakimbilia somo la history
 
Back
Top Bottom