GE2025 Amnesty International yalaani vikali Mauaji na Matendo ya kikatili ya ukiukwaji haki za binadamu yaliyoendelea wakati Mtandao ulipofungwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeelezea wasiwasi wake mkubwa kufuatia hatua ya mamlaka za Tanzania kufunga au kupunguza kasi ya mtandao nchini kote baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025

Akitoa tamko hilo, Naibu Mkurugenzi wa Amnesty International Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Vongai Chikwanda, alisema:

“Kwa takribani wiki moja sasa, wananchi wa Tanzania wamekumbwa na kukatika kwa mtandao wa intaneti na umeme nchini kote. Amnesty International inatiwa wasiwasi mkubwa na taarifa kuwa wakati wa giza hilo, vyombo vya ulinzi na usalama vimetumia nguvu kupita kiasi kuvunja maandamano ya amani ya baada ya uchaguzi, hali iliyosababisha vifo na majeruhi kwa waandamanaji.”

Ameongeza kuwa hii ni mara ya tatu ndani ya mwaka mmoja ambapo mamlaka za Tanzania zinashutumiwa kutumia vizuizi vya mtandao kama silaha ya kukandamiza sauti za wapinzani

“Mamlaka lazima zikomeshe mara moja vitendo vya kukandamiza maandamano na badala yake ziheshimu, zilinde na kuwezesha haki ya kukusanyika kwa amani. Wote waliokamatwa kwa sababu ya kushiriki maandamano ya amani waachiwe mara moja bila masharti yoyote,” alisema Chikwanda.

Amnesty pia imetoa wito kwa serikali kufanya uchunguzi wa haraka, huru, wa kina na wa haki kuhusu vifo vinavyodaiwa kusababishwa na vyombo vya usalama, na kuhakikisha wote wanaohusika wanawajibishwa kisheria. Familia za waathirika zinapaswa kupatiwa haki na fidia stahiki.

Shirika hilo limeitaka serikali kuruhusu vyombo vya habari vya ndani na kimataifa kuripoti kwa uhuru hali ya haki za binadamu nchini bila hofu ya kuzuiwa, pamoja na kurejesha huduma za mtandao na umeme mara moja

“Vikwazo vinavyoendelea vinazuia upatikanaji wa taarifa na kufanya iwe vigumu kuthibitisha matukio na ukiukwaji wa haki za binadamu unaohusiana na uchaguzi,” lilisema shirika hilo

Oktoba 29, 2025

Watanzania walipiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, katika uchaguzi uliotawaliwa na chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea wakuu wa upinzani, Tundu Lissu wa Chadema na Luhaga Mpina wa ACT-Wazalendo, wakizuiwa kushiriki.

Video zilizothibitishwa zilionyesha waandamanaji wakiwa mitaani katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Tunduma, Tanga na Mwanza, miongoni mwa mingine. Kabla ya uchaguzi, Amnesty International ilitoa taarifa ikionyesha namna serikali ilivyoongeza ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wanahabari, watetezi wa haki za binadamu na asasi za kiraia

Soma pia GE2025 - Amnesty International yaitaka Serikali ya Tanzania kusitisha ukandamizaji dhidi ya Upinzani Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025

Siku ya uchaguzi, mamlaka zilisimamisha huduma za mtandao wa simu na mitandao ya kijamii katika maeneo mengi nchini. Tarehe 3 Novemba, baadhi ya wakazi waliripoti kurejea kwa huduma hizo kwa kiwango kidogo katika baadhi ya miji

========

Tanzania: Unlawful killings and other human rights violations continue amid internet and electricity blackouts

In response to the ongoing partial internet shutdown by Tanzanian authorities following the October 29 general elections, Amnesty International’s Deputy Director for East and Southern Africa, Vongai Chikwanda said:

“For close to a week now, many people in Tanzania have suffered nationwide internet and electricity shutdowns. Amnesty International is particularly alarmed by reports that amidst the blackouts, security forces have used excessive force to suppress and disperse ongoing post-election protests, resulting in the deaths and injuries of protesters.

“This is the third time in less than a year that Tanzanian authorities have resorted to an internet blockade to silence dissenting voices. Authorities must immediately refrain from suppressing protests and instead respect, protect, and facilitate the right to peaceful assembly. They must immediately and unconditionally release all those arrested solely for exercising their right to peaceful assembly.”

“Authorities should promptly, thoroughly, independently, impartially, transparently and effectively investigate all killings by security agents and bring to justice in fair trials those suspected of being responsible. Authorities must also provide victims and their families with access to justice and effective remedies.

“The authorities must also allow both local and international media to freely report on the human rights situation in the country and refrain from restricting access to information, both online and offline including by immediately restoring internet access and access to basic public services. The ongoing restrictions are making it difficult to verify information, and to document election-related human rights violations.”

Background

Tanzanians went to the polls on 29 October in an election dominated by the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) party, with the two main opposition presidential candidates, Tundu Lissu from Chadema (Chama cha Demokrasia na Maendeleo or the Party for Democracy and Progress), and Luhaga Mpina from ACT-Wazalendo, barred from standing. Verified videos showed protesters on the streets of Dar es Salaam, Mbeya, Tunduma, Tanga, and Mwanza among other towns. Ahead of the elections, Amnesty International issued a briefing outlining how the Tanzanian authorities have intensified their repression of peaceful dissent against the opposition, journalists, human rights defenders, activists and civil society organizations.

Authorities imposed nationwide internet restrictions on election day disrupting mobile data services and blocking access to social media platforms across major networks. On Monday 3 November, residents reported partial resumption in some cities.

Source: Relief web

Siku ya uchaguzi, mamlaka zilisimamisha huduma za mtandao wa simu na mitandao ya kijamii katika maeneo mengi nchini. Tarehe 3 Novemba, baadhi ya wakazi waliripoti kurejea kwa huduma hizo kwa kiwango kidogo katika baadhi ya miji.

Source: Relief web

ICC waje wafanye uchunguzi mara moja! Japo naamini tayari wameshaanza kufanya uchunguzi kutokana na tuhuma hizi.
 
Dictators do not heed to words, we need actions
 
Hivi vyombo vina majina makubwa sana ila vinafanya kazi kwa uduni sana na kwa kulinda maslahi ya wafadhili. Palestina hali ni tete, Sudani katika eneo la EL-FASHER ubinadamu unapunguzwa na kuwa kama uchafu.

Mahakamama ya Kimataifa imekuwa kama iliandaliwa kwa ajili ya viongozi wa nchi za Kiafrika tu na siyo nchi zote. Silaha kubwa ya vyombo hivi iliyobaki ni " kulaani"

Kama ilivyokufa ligi ya Kimataifa " LEAGUE OF NATIONS" na kuzaliwa kwa Umoja wa Mataifa ndivyo na Umoja huu unavyoelekea.
 
JAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.

NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.

WANASEMA MAUAJI HAYO YATAWAHUSU PIA NDUGU, WATOTO NA FAMILIA ZA HAO VIONGOZI WALIOTAJWA.

PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)

KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.

NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.

NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
 
Hili siyo la chama na Serikali ila ni la kila mmoja wetu sasa kuwa mlinzi kamili wa utu na ubinadamu.
 
Back
Top Bottom