Amnesty International imekuwa ni genge la wasanii

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine.

Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
 
kwamba kujua huyu ni inzi au sio nzi mpaka utumie microscope?
 
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine.

Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
Mmepigwa kwenye mshono mmeanza kutoka mlio 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom