frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 622
- 822
Hivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi hata Cjui....ila huwa nahangaika na mademu kwanza...ile kwenye hilo lako sijaona umetaja demu...shame on you kwa ubinafsi..Hivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu sina ham nayo aisee, imenikomeshaa..
Hivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa??
Sent using Jamii Forums mobile app