Amkeni, amkeni Profesa ameanza kulaumiwa huku

Uto bhana yani mpira umeisha baada waje na vitu technical kwenye football washaanza ndoto zao tena mara tunaenda kupindua meza sasa sjui wanafkr wanaenda Singinda.

Sema CAF hii round ikiisha watoe ranking za vilabu tena maana kuna timu itakuwa imepitwa hadi na Biashara United hapa.
Kwa timu ya jana iliyocheza labda wakapindue kitanda cha Mama J, biashara anavuka hapa ila Yanga hata shirikisho haendi tegemea anaenda kuwa 100±
 
Kwa timu ya jana iliyocheza labda wakapindue kitanda cha Mama J, biashara anavuka hapa ila Yanga hata shirikisho haendi tegemea anaenda kuwa 100±
Uto ndo zao yani hawaoni kama wapo wanatuvuna hapa yani sijui wajikuta akina nani yani sisi tunapambana timu zinakuwa nne wao wanakuja na wenge lao uwanjani eti timu haijapata chemistry yani toka kipindi cha Zahera hadi leo hawana chemistry sasa hapa watafute divinity tu hakuna namna🐸🐸
 
Siku yanga wakiacha propaganda ya kuifananisha timu Yao na club ya Simba wakaanza kujenga timu watafanikiwa

Narudia tena yanga ni timu ndogo sn ktk mashindabo ya kimataifa ..wakae chini watengeneze mfumo
Tabia ya kujiweka level sawa na Simba itazidi kuwatafuna miaka nenda Rudi

Ktk level za CAF Simba ni no 12 wakati yanga ni 77 na wakimaliza mechi Yao ya marudiano nadhani watazidi kutupwa wa 100+
Huu ndio ukweli. wakiufanyia kazi huu ushauri wako watapiga hatua kubwa sana.

Simba na Yanga zinafanana kwenye mambo yote ya nje ya uwanja.
Tofauti yao kubwa ipo ndani ya uwanja tu.
 
Kocha wenu anadiploma mleteni afundishwe na Profesa wetu,aje na vyeti vya waajiri wake.

Kocha anajua,kikosi kipo vizuri.

Baada ya mechi Sasa
Nabi hajui kupanga kikosi unamuwekaje Bangala benchi?
Mauya sio wakucheza Yanga
Nchimbi sio wakuchukua nafasi ya Youcuba

Nabi hana uchungu na Yanga
Ongeza kauli nyingine ya utopolo wakilalamika juu yakipigo Cha river United
Kama wewe mtoa mada ni kocha kwa nini Yanga wasikuchukue? Hamna timu ya kushindana Champions league hapo
 
Yanga sioni hata wanacheza mfumo gani.
Mi naona wanacheza
Putaputa tu, sioni wakicheza kimipango.
Au macho yangu jamani.

Mechi na Rivers United nyumbani dakika 90 shuti moja tu golini ...!!!!

Ni maajabu ya Karne.
Vipi wangeshuka Al-Ahally wenye kombe lao ?
Ndiyo Marupe~rupe
Wanataka Mafanikio Ya Simba Haraka Haraka
 
1631529112384.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom