Ukabila [emoji12] [emoji42] [emoji15]Wewe jamaa ni kabila gani? Kuna baadhi ya makabila huwa hayawezi kufanya udondoshaji ktk maneno ya lugha ya Kiswahili.
Wasukuma wengi ukiwambia andika neno mtu wataandika mutu na kuona hata ww badala uandike ''amka'' unaandika amuka
Makosa mengine ni
Waalimu, alafu, ela, waanafunzi, iyo, n.k