Siri ya mafanikio

Siri ya mafanikio

Seleina Tikili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,407
Reaction score
2,730
Ukitaka kufanikiwa. 1.jiamini
2.Acha kamari

3.Acha umalaya oa ishi na mke mmoja

4.Pambana usilaze damu na umuombe mungu wako

5.usikate tamaa

6.usipende starehe

7.usipende usingizi amka kapambane, na mungu atakusaidia na atabariki kazi ya mikono yako
 
Back
Top Bottom