TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Jan 27, 2015 #21 Jamaa_Mbishi said: Hivi huyu mze yuko form gani? Click to expand... Anakula space ya ukumbi tu, hapo aliposimama amechukua sehemu ya wanafunzi watatu.
Jamaa_Mbishi said: Hivi huyu mze yuko form gani? Click to expand... Anakula space ya ukumbi tu, hapo aliposimama amechukua sehemu ya wanafunzi watatu.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Jan 27, 2015 #22 BIGURUBE said: Le Mutuz amefunga shule hapo ni.ndani ya school bash December 2014 Click to expand... Yani hilo kubwa jinga hata haya halina kabisa ukiangalia hapo karibu wote waliomzunguka ni sawa na watoto wake wa kuzaa kabisa
BIGURUBE said: Le Mutuz amefunga shule hapo ni.ndani ya school bash December 2014 Click to expand... Yani hilo kubwa jinga hata haya halina kabisa ukiangalia hapo karibu wote waliomzunguka ni sawa na watoto wake wa kuzaa kabisa
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 27, 2015 #23 MasterP. said: Yani hilo kubwa jinga hata haya halina kabisa ukiangalia hapo karibu wote waliomzunguka ni sawa na watoto wake wa kuzaa kabisa Click to expand... le mutuz ana 50+ km angepata mtoto akiwa na 20yrs kwa sasa angekuwa ba mtoto mwenye 30+, bila shaka huyo mwanae angekuwa ameshaoa/olewa na hivyo kufanya huyu mzee awe wakuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MasterP. said: Yani hilo kubwa jinga hata haya halina kabisa ukiangalia hapo karibu wote waliomzunguka ni sawa na watoto wake wa kuzaa kabisa Click to expand... le mutuz ana 50+ km angepata mtoto akiwa na 20yrs kwa sasa angekuwa ba mtoto mwenye 30+, bila shaka huyo mwanae angekuwa ameshaoa/olewa na hivyo kufanya huyu mzee awe wakuu.