Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 714
Wakuu hizi degree za online amity university wakishirikiana na UDSM zinaaminika? Au ndo ile umejipinda kusoma af unaambiwa chuo hakitambuliwi
Zipo vizuri, zinatambulika...Wakuu hizi degree za online amity university wakishirikiana na udsm zinaaminika? Au ndo ile umejipinda kusoma af unaambiwa chuo hakitambuliwi
More information please or linkzipo vizuri, zinatambulika...
Mkuu uliaanza kusoma??Wakuu hizi degree za online amity university wakishirikiana na udsm zinaaminika? Au ndo ile umejipinda kusoma af unaambiwa chuo hakitambuliwi
Mwezi wa Saba zitafunguliwa tena, Mimi pia nataka kupiga BCAMkuu uliaanza kusoma??
Mwezi wa Saba zitafunguliwa tena, Mimi pia nataka kupiga BCA
Angalia kupia center for Virtual Learning-University of Dar es Salaam.Mitihani yake pia unafanya online?
Fani gani wanatoa?
Hii ndio kozi gani mkuuMwezi wa Saba zitafunguliwa tena, Mimi pia nataka kupiga BCA
Bachelor of computer ApplicationHii ndio kozi gani mkuu