Amiri Jeshi Mkuu Akipewa Masaluti

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
12525144_1117245021627495_1260981809083188844_o.jpg

Picha na BBC
 
Nilimsikia msemaji wa Jeshi kwenye ITV saa mbili usiku.Alisema "vazi la jeshi ni kama mavazi mengine",baya zaidi hakutoa mipaka ya matumizi ya vazi hilo.Wanamuziki muwe makini na vazi hilo.Lakini wakati wa kutoa kamisheni Mh.Rais hakuvaa vazi la jeshi na alikuwa ktk shughuli za kijeshi....anyway ya ngoso tumuachie ngoso.Sisi tumsaidie kuyatumbua hasa hili la UDA ni jipu MAJI
 
Inasemekana mkuu kamanda Magufuli anasafiri kuelekea Ethiopia kuhudhulia mkutano wa AU mwisho wa mwezi , ingependeza kabla ya kwenda huko angekuwa amekamilisha ngwe ya kuteua maRC / maDC kwani situ 100 karibu zinafikiwa na atakuwa bado hajakamilsha uundaji wa serikali yake kufikia wilayani!!
 
lugha gani watawasiliana na Ethiopia?

swissme
 
ugha gani watawasiliana na Ethiopia

Anaweza kuzungumza kiswahili na akaonekana mtu wa maana kwani anathamini utamaduni wa nchi yake; usiwe na shaka kule AU kuna wakalimani wa lugha nyingi hata kikwere!!!
 
Back
Top Bottom