Amini Usiamini lakini ni Ukweli mtupu huu

Dah! Mambo mengine bwana. Siwezi hata kidogo kujipendekeza kwa mapaka pori. Wakikuchenjia wanakuchenjia tu.
 
Hiyo siyo photoshop, huyo mwanaume ni animal trainer, na huyo tiger ni mwanafunzi wake. Hapo ni masuala ya mwalimu na mwanafunzi wake kama huyu hapa chini.

 
jipaka linasema kwanza kanyama chenyewe kidogo wala sipotez mda kujipaka vidam vyake
 
Na Hizi Pia Photoshop Wabongo tumieni akili zenu musipende kushikiwa akili..................








Mbongo jaribu namna hiyo uone kilichomtoa nyoka pangoni.





 
Naona umeamua utumie nafasi hii hadimu kuwadanganya watanzania
Hizo zote photoshop wewe hujawahi mwona simba amecheza movie au mbwa starling wa movie
 
Hizo ni za kweli aisee hata Dubai saiv matajiri wengi ndo mashindano hayo ya kuwa na pets ambao ni big cats, na wamezoeana hatari tupu. Huwezi jaribu mtu mwenye akili timamu, ila kama ni mtu wa stunts ni rahisi mno
 
Waarabu mafogo nao wanawafuga wanacheza nao tu hawa big cats kama Tyson alivyokua naye wakwakr
 

Attachments

  • 1411227870965.jpg
    47.5 KB · Views: 78
  • 1411227886775.jpg
    42.6 KB · Views: 85
  • 1411227907705.jpg
    63.2 KB · Views: 76
  • 1411227921120.jpg
    69.5 KB · Views: 79

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…