wataalam wa malovee wanakuja sa hivi wanamalizia kupaka mapoooder!!!
hii nimeiona baada ya kuona thread kadhaa za ki-MMu zikiwa CC na pia MMU wengi ndio hao hao CC
proof hii hapa
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/241674-jf-couples-new-version.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/283611-natafuta-mganga-wa-mapenzi.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ica-leyla-mwenda-angekuwa-gelfrend-wangu.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/281644-sikutaki-tena-platozoom.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/281840-i-miss-you.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/281502-nimerudi-my-sweet-charminglady-wanga-wajinyonge.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit...imwana-anilipie-niwe-angalau-gold-member.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/273858-%40sweetlady-kidogo-avunje-ndoa-yangu.html
- https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/281179-nimeibiwa-mume.html
kagua hapo uone ... hizi zoooote zilitupiwa CC lakini zimekaa ki MMU zaidi... ama kweli CC ni wachakachuaji mmechakachua hadi MMU?!
nawasalimuni nyote...haswa ww mtoa mada...SS za masiku?
charminglady i wish ungejua kuwa hata huu uzi uko ki-chit chat zaidi
charminglady umejibu maukweli wakati uzi wenyewe uko ki chit chat pia lolhivi mtoa uzi unajua maana ya flirting???? na maana ya chit chat...hizo link ulizotoa watoa uzi wana akili timamu na ni waelewa kuziweka chit chat na co MMU, hata mamods waliona kuwa zina fas kuwa chit chat dats y hawakuzivumuzisha... madame Roulette, Paw, Invisible na wengineo naomba mumfafanulie @Smilling Saint kuwa hizo link hazikuhamishiwa MMU na zikaachwa CHIT CHAT....PIA PITIA HAPA UJUE MANA YA FLIRTING... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/264602-flirting.html
Hahahaaaa Smiling Saint umesahau ya Amyner kuniacha lolnjema tu kaka, za kwako? halafu Erickb52 nadhani anahusika sana hapa na kijana Nicas Mtei... habari za maisha... naomba utambulisho mzuri kwa cacico kaka