Amina na Kikwete

Amina na Kikwete

...ukiwa ccm huwezi kuwa hata balozi wa nyumba kumikumi kama hujajikomba kwa vigogo wao. uliona nchimbi na wakina Sofia wanafuka moshi sio kwasababu wanapenda sana haki ya mgimbea wao bali walisha jikomba kwa lowasa awakumbuke kwenye ufalme wake...
 
Kumbe ndo maana Asha Rose siku wanatangaza matokeo ya 3 bora alipanda jukwaani na mume wake ili kumchamba mwenzake.Amina amemshinda Dr asha kwa kura!! Sikuamini.JK katika ubora wake.
 
hawajakutana barabarani tehe tehe tehe.
 
Back
Top Bottom