nakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
tupo pa1 Cheusi....bado nafikiria cjui hata hiyo dinner utayaanzaje hayo maongezi...na kwa mila zetu hizi big no, hapo hata kama mkaka na yeye tamaa itamsukuma lakini mbeleni atakuja kukupa ile"c ulinifata mwenyewe"...achia mbali hiyo lakini bado nadhani jamaa atakuwa na wewe kimachale machale vile, mbona kuna njia kibao za kumuhamacsha aanze kuongea mwenyewe?

NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
nakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
Yani acha tu, naona vitendo viongee zaidi ya live ila bado najipanga..akikubali dinner itakuwa walaaah Yani acha tu, naona vitendo viongee zaidi ya live ila bado najipanga..akikubali dinner itakuwa walaaah
kuanza akikubali dinner,tayari huko huko lazima yeye ndio atakuanza..hahahaah,wanaume wa kiafrica wenyewe ndio wanawatoa watu dinner ...,ukiwatoa that means unamtaka.!..he will definetely make his move tonight...dont worry...lol......wewe ni kumualika tu for dinner,the rest will follow....naturally:embarrassed:
Hivi Dena kwa BE ilikuwa staili hiyo pia ni swali tu nimeuliza
nakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
mwaya usimueleze jikaze tu ila kuwa nae karibu ili ujue nae anahisia zozote na ww au,unajua siku hizi wanawake tumekuwa warahisi sana unaweza kumueleza akaona nawe ndiyo walewale so avunjike moyo kabisa please jikaze my dear ushauri wa cheusi mangala pia muhim
Mtoe out usiku, usiongee mengi, kuwa msikivu zaidi, msifie, mwambie unapenda uwe na mtu kama yeye... ataelewa somo[/QUOTE
Kwahiyo niongee tu general ila nisimwambia kuwa nimemfia yeye?!..Hii pia ni njia nzuri ya kuiweka akilini, thanx
Nyamayao besti, nimekusoma kama Cheusi..sasa nipe hizo njia ili nisiende straight kwa point ili akanihukumu vibaya..Sitaenda spidi, nitajie hizo njia mana kweli nampenda na ana kila sifa niitakayo kwa mwanaume kwa nilivyomuonatupo pa1 Cheusi....bado nafikiria cjui hata hiyo dinner utayaanzaje hayo maongezi...na kwa mila zetu hizi big no, hapo hata kama mkaka na yeye tamaa itamsukuma lakini mbeleni atakuja kukupa ile"c ulinifata mwenyewe"...achia mbali hiyo lakini bado nadhani jamaa atakuwa na wewe kimachale machale vile, mbona kuna njia kibao za kumuhamacsha aanze kuongea mwenyewe?
mi mwenyewe nilifatwa na nikaelezwa..... dada wa watu akasema kweli yote iliyo moyoni mwake
nikamwambia haina shida kwa mbali hata mimi nilikuwana nasikia vibration kwako.......tayari nanae ndani... tumeoana....mwezi wa kwanza mwakani natarajia kupata mtoto.... mfate umwambie dada yangu...... SIFA YA MOYO NI TAMAA (nzuri au mbaya)
Yani unabahati sana na nimefurahi kusikia hukumfikiria vibaya huyo dada..Aisee, hongera na kila la kheri kwenye ndoa yako..thanx
Haswa Bacha, namsubiria Nyamayao anipe mwangaza..hii ni mara ya kwanza nimepatwa na hii haliziweke hadharani Nyamayao hizo njia ili BJ afaidike!!!!!!
Usipo piga sala ya usiku kumbe huwa unamwaga mapoint ya nguvu namna hii duh
Ule mvinyo mbado nausubili X.mass
Belinda Jacob, nakuonea raha sana, lazima niwe mkweli kwako, wewe ni miongoni mwa wadada wa humu JF ambao mimi ninawazimia, sikuthubutu hata kufind out kama uko single au la kwasababu It would have made no diference.Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
Ahahahaaaah!!!!Niambie tu BJ! Usihofu sitakuangusha
worry not.
iwe pale pale kama destination imebadilika itakula kwako!
Mi pale ni kama home haipiti siku sijatia maguu pale.
Vp unamwambiaje BJ avunje ukimya alonge nae? Akilonga nae jamaa ataishia kupanua shimo alafu anakula kona
Hivi Dena kwa BE ilikuwa staili hiyo pia ni swali tu nimeuliza
Dena Amsi nina wakati mgumu sana..ipi bora kumtext au live? au nifanye viji-actions kama kutoka wote anaweza kuwa connected na yeye?