Ametwaliwa.. RIP CELINA KOMBANI

Kati ya watu wachache ninaowakubali kiasi kutokea Magamba!
 
R.I.P CELINA KOMBANI...."One Must Always Remember That Birth, Old Age, Disease And Death Comes At Any Moment In Regardless Of Whom We Are Or What We Have In Forms Of Material Possession."
 
RIP... Mama
Mungu akuweke upande unaostahili..
Tabia za kuita wenzenu wagonjwa..
Ooh ikulu siyo hospitali ,si kauli nzuri.
 
R I P
usimkejeli mwenzako kwamba mgonjwa..
inawezekana wewe ndie mwenye siku chache za kuishi..
live long E L for presidency !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…