Ametokelezea!!!!

Ametokelezea!!!!

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Gamba kituoni.jpg
kama alivyokutwa na mpiga picha wangu kituo cha daladala cha moroko akisubiri usafiri.

Nakala kwa Ritz, chama zomba and two others.
 
Last edited by a moderator:
ni katokelezea kweli maana hilo pozi ni la zaidi ya lisaa hivi...
 
Kama sikosei Namfahamu huyu jamaa. Ni mbaya sana kwa kupiga Roba na kusachi. Kamasikosei hapo anamlia timing mtu.
 
Hii picha ya ritz alikuwa anangojea usafiri wa kwenda lumumba
 
hiyo kofia inamzidishia umasikini,maana hata upepo wa shetani unadhuru.
 
Yeye anafaidi kofia tu, wenzie wakipita wanampigia vumbi tu! funguka mwananchi, kula kwa ccm, kura kwa cdm.
 
Back
Top Bottom