kapendeza saaaaaaaaanaView attachment 98941
anafahamika huyu ..........................unamuonaje?
Nilidhani ni mganga wa jadi, kumbe dokii. Sikuhizi anaonekana na kusikika kwenye msimu wa kampeni za jukwaa la chama cha Komba. Komba huyu huyu anayetuhumiwa kupitia mabinti wadogo wadogo kama nanihii.