Ametoa mimba yangu

Ametoa mimba yangu

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,039
Reaction score
4,449
Habar wakuu,

Muda mrefu kidogo nilijuana na huyu mtoto ambaye hasomi ana miaka 17, nilianza mahusiano naye mwezi wa 7 mwaka huu, lakini kutokana na tabia zake za kuchepuka kwenye mahusiano tulikwazana.

Wiki mbili baadae akawa ananitafuta anasema ana mimba yangu, lakini mimi nilikuwa nikikataa nasema hawezi kuwa na mimba yangu mwanamke hajatulia kama yeye lakini kila siku alikuwa ananitafuta mimi namtukana sitaki hata maongezi naye maana alikuwa hata akitembea na rafiki zangu kabisa

Juzi nilikutana nae tukaongea mengi na kumpa ushauri mzur tu wamaisha, nilipomuuliza kweli una mimba, akasema kweli nilikuwa nina mimba na mimba ya kwako asilimia 100 siwezi kukusingizia, mimi nikamwambia, wewe tatizo lako hujatulia kivyovyote mimi lazima nikane naweza kulea mimba halafu mtoto kuzaliwa ana sura ya rafiki yangu kiukweli nisingeweza, kama kweli ulikuwa na mimba yangu usingetoa mimba inakataliwa lakini mtoto hakataliwi, lakini aliponihakikishia ni mimba yangu na ametoa, mpaka sasa roho yangu inaniuna sana.

Kwanini alitoa mimba kama ilikuwa ya kwangu.

Daaaah roho inaniuma sana

asanteb
 
kwanini uliiikana???

Ni Bora ungekubali alafu mtoto akizaliwa ndo Kama sio wakwako UPITE IVII
naweza kupoteza ghalama kwa kitu ambacho siusiki namwenyenacho akaja kuchukua kiulahisi mno
 
utoto unakusumbua mimba uliikataa leo Hii haipo inakuuma tena ni Hisia zinakuchanganya
 
Kwanini alitoa mimba kama ilikuwa ya kwangu.
Una uhakika kuwa una uwezo wa kumpa mimba mwanamke au unataka uonekane tu
Halafu kitendo cha kuzini na binti chini ya miaka 18-kisheria ni ubakaji,ukibainika utafungwa jela miaka 30
 
Una uhakika kuwa una uwezo wa kumpa mimba mwanamke au unataka uonekane tu
Halafu kitendo cha kuzini na binti chini ya miaka 18-kisheria ni ubakaji,ukibainika utafungwa jela miaka 30
sio mwanafunzi
 
Back
Top Bottom