Amesoma HGK, ni kozi gani itamfaa?

Amesoma HGK, ni kozi gani itamfaa?

Joined
Jul 6, 2017
Posts
10
Reaction score
1
Mdogo wangu amesoma HGK ni course gani itamfaa kuendana na soko la ajira nchini naomba ushauri.

Tanzania ya viwanda inahitaj zaid wanasayansi namaanisha ata ualimu wa arts sio tena dili...
Ifike pahala kila mtu apambane na hali yake tu

Dogo asome kitu anachokipenda yeye kutoka moyoni.

Hali ya soko La ajira nchini siyo static, unaweza kuona Leo kozi Fulani inalipa haswa kwenye upatikanaji wa ajira, lakini miaka miwili baadae ikawa ni habari nyingine tofauti kabisa.

Mfano halisi ni Walimu wa Sanaa. Miaka miwili/mitatu iliyopita, ilikuwa ni kozi ya uhakika kwenye uwanja wa ajira. Lakini sasa hivi, haina uelekeo wowote kabisa. Ni maumivu matupu.

Hata kama ajira haitakuwepo, kama umesoma kitu unachokipenda angalau hutakuwa na hali mbaya kulinganisha na yule ambaye amesoma ili kupata ujira tu.

Mwambie Dogo a some anachokipenda kutoka moyoni, lakini mwisho wa siku chaguo ni lake.

shukran ndg

[emoji117]Education
[emoji117]Political science
[emoji117]L.L.B
[emoji117]Law Enforcement
[emoji117]Rural development
[emoji117]Sociology
[emoji117]History
[emoji117]Linguistic
[emoji117]Language
[emoji117]Arts and design
[emoji117]Fine and Performing arts
[emoji117]Cultural Heritage
[emoji117]Archeology
[emoji117]Geography

Back
Top Bottom