Amesema"‘Allahu Akbar’ (Mungu ni Mkubwa) akapigwa Risasi

Status
Not open for further replies.

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856
Mwanamume mmoja aliuliwa na polisi Paris jana kwa madai ya kusema ‘Allahu Akbar’ (Mungu ni Mkubwa) nje ya kituo cha polisi eneo la Goutte d’Or karibu na Montmartre, kabla ya kupigwa risasi na polisi.
Inamaana wanaoamini katika uisilamu wamekuwa watu hatari kiasi hiki?
Cc FaizaFox
 
Hacha Kupotosha watu wewe; Issue Ni Hivi, Huyu Jamaa (Gaidi) nadhani Ni wale Wenye Msimamo Mkari (

Alshabaad or Alkaida), Alikwenda Polisi Huku Amejivisha Mabomu Bandia na Jisu Lefu mikononi.

Inasemekana Alionyesha Hasira za Waziwazi dhidi ya Askari na Kituo Cha Plolisi Kwani alikuwa agressive ni ile

Mbaya. Maneno Aliyokuwa akiyatamka ni ya Kiaraabu Mojawapo ni hilo la Alah wa Kbar,huku akiendelea

Kusogelea Kitua cha polisi kwa hasira: Hapakuwa Na Namna yoyote Kwa mtu yeyote aliyesomea Mambo ya

Usalama Kumwacha Gaidi yule. Basi Askari wale Hawakufanya kosa, Isipokuwa Kumtungua tu, na Ndipo

walipompekuwa Wakamkuta na Mabomu ya bandia: Swali ya Kujiuliza Ni nani angejua ya kwamba Gaidi lile

Lilijivisha Mabomu ya Mbandia na siyo halisi. Hiyo Gaidi yule Kapata haki yake wala Hakuna cha Allah wa Kiibar

CC Faiza Foxy..
 
Last edited:
Al Shabab walikuwa wanawapiga risasi na kuwaua walioshindwa kusema Allah akbar. Jiulize swali kama hilo kwa case hii pia
 
Duuuuh we jamaa ni muongo sana,jamaa alikuwa kabeba bendera nyeusi (kama ile inayotumiwa na is),na alikuwa kajifunga mabomu ingawa wanasema hayo mabomu ni feki,sasa hapo sijaelewa nia yake ilikuwa nn
 
Duuuuh we jamaa ni muongo sana,jamaa alikuwa kabeba bendera nyeusi (kama ile inayotumiwa na is),na alikuwa kajifunga mabomu ingawa wanasema hayo mabomu ni feki,sasa hapo sijaelewa nia yake ilikuwa nn
Sasa mwongo mimi au wewe mbona hakuwa na bendera?
 
Kipande chenye mchoro wa bendera
 

Attachments

  • 1452263844948.jpg
    1452263844948.jpg
    55.7 KB · Views: 37
  • 1452263857418.jpg
    1452263857418.jpg
    45.9 KB · Views: 35
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom