Haswaaaaaa hiyo itakuwa shughuli pevu
Ha ha haa we potea tena uoneKwi kwi kwi kwi lol! hahahahahaha BAK anasakwa JF popote atakapoonekana akamatwe haraka sana na kurudishwa JF lol!
Ha ha haa we potea tena uone
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
Acha kumfikiria vibaya wewe assume tu kwamba kaamua kuvaa mwenyeweMpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
ukiona manyoya ujue.........Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
Hahahawanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!