jtwentytwo
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 194
- 26
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
usimjibu mpu.mb.avu sawsawa na upu.mb.avu wake usije ukafanana naye!!!!!!!!!!!napita tukwn kuweka wazi au kutokuweka wazi kunabadili nn mwilin....ww unadhan vile bwasheshe wako anavyokufumua ayo marinda ata ukifanya siri unadhan ilo tundu litarud kwenye hali yake ya awal.....ukwel na uwezo ndio mpango wa dunia ya sasa ivoo tutoleee apaaa idea zako za enzi za mwlm apaaaa
Anatania tu.WTH? Umeoa kweli??????? Unatuuliza sisi wakati ni mkeo????
Kaambiwa, kavaa, kafanya majaribio, kaja nayo kwako, hapo tayariMpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
KWA ULIVYOZIONAMpo?

Ndio mara ya kwanza anavaa tangu muowane au alipoondoka nyumbani ulimvua?Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
Hata mie nilifunzwa kuzivaa na faida zake na asikudanganye mtu hao waume wanaosema hawazipendi kwa wake zao wakiona huko nje wanawehukaa na kuzifata nikivaa mie ni wivu nisifatwe. Kingne jmn wanawke sio mnavaa mnaziacha njee ukiinama kidogo hizoo haifaiiUkweli ni kuwa kwa wanawake wa pwani hiyo ni kawaida. wanapenda wajue waume zao wanapenda nini?. hivyo kama upendi mwambie na hatovaa tena. kuna uwezekano ukumwambia chochote kuhusu shanga hapo mwanzo. ila kiukweli wanavyochezwa wanafundishwa shanga si sehemu ya kuongeza starehe na heshima katika nyumba zao ila si kwa wanaume wote.
Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
Muulize kwanza kura alimpigia nani. tuanzie hapo.Ameshavalishwa alikotoka
chumvi tena, mbona ipo naturally?kheee anaongeza chumvi kwenye mahaba usiogope