St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
tuwapendeje jamani mama kaamu kuongeza manjonjo hupaswi kuwa na hofumpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
Hivi na huu nao Ni umbea? Hata kama sijui umbea ila huu sio mama, sema tu brother kashindwa kuchukua maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
kama na wewe unavaa si useme