Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
karibia wengi nna wasi wasi nao wana tabia za mabwabwaDada ulichoongea ni kweli tupu lkn huenda na ile tabia za kule kwa David Cameron zimechangia sana. Huwezi kuja kumdharirisha mke wako jamiiforum hata kama tunatumia ID fake eti kisa shanga kiunoni.
karibia wengi nna wasi wasi nao wana tabia za mabwabwa
wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!
Ye kakwambiaje?
karibia wengi nna wasi wasi nao wana tabia za mabwabwa