Amerudi anachechemea

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,436
Reaction score
872,034
Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina,

mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama tulitangulizana.

Nahisi kuna mchezo nachezewa nivuruge ndoa yangu changa
 
Pole mkuu, unahisi wenye nyumba wanataka kumtumia binti yao kuvuruga nyumba yako? au ni mbinu za binti huyo kukuchafua? Kuwa makini mkuu
 
Aisee!!! Kwa nini uwe na namba ya simu ya mtoto mdogo kama huyo. Tena wewe upo kwenye ndoa?

sina no yake niamini na hata yangu sijui kaipata wapi na alichoongea ni tofauti kabisa,alijifanya kakosea no
 
....

..."kuchechemea " umenikumbusha mbali sana enzi hizo ukimgegeda demu halafu "akachechemea" wewe ni bingwa mtaa mzima !!!!
 
Pole mkuu, unahisi wenye nyumba wanataka kumtumia binti yao kuvuruga nyumba yako? au ni mbinu za binti huyo kukuchafua? Kuwa makini mkuu

kuna mambo ya kushangaza yametokea nilipotoka akatoka, akanipigia simu akijifanya kakosea no lakini nikagundua ni yeye, tukakutana kona ya mwisho mtaani nimerudi tu naye karudi huku akichechemea ...kuna namna c bure
 
sina no yake niamini na hata yangu sijui kaipata wapi na alichoongea ni tofauti kabisa,alijifanya kakosea no

.....Ha ha ha pole sana Mshana hama huko ....ilinikuta kitu kama hiyo Sekei balaaaa!!!!
 
the hunter has become the hunted

wallah pamoja na uzuri wake na maungo yake teketeke sijawahi kufikiria kumuwinda kwakuwa babaake ni namba nyingine kabisa
 
kuna mambo ya kushangaza yametokea nilipotoka akatoka, akanipigia simu akijifanya kakosea no lakini nikagundua ni yeye, tukakutana kona ya mwisho mtaani nimerudi tu naye karudi huku akichechemea ...kuna namna c bure

Kuna dalili zote kuwa ulikuwa unakamezea mate! mahojiano umeyaskia yanaendaje? kama hauna kosa sioni kwa nini unawaza.
 
.....Ha ha ha pole sana Mshana hama huko ....ilinikuta kitu kama hiyo Sekei balaaaa!!!!

na usiku huu mjumbe naye kaja nimeitwa kikaoni wife angekuwepo sijui ingekuwaje na hata akirudi sidhani kama atanielewa ila nitarekodi mazungumzo yote kwa siri
 
na usiku huu mjumbe naye kaja nimeitwa kikaoni wife angekuwepo sijui ingekuwaje na hata akirudi sidhani kama atanielewa ila nitarekodi mazungumzo yote kwa siri

.....Mkuu mshana usimfiche wife mwambie ukweli akija juu kwa juu mazawadi kibao out la nguvu akituwa chini kashapowa!!!
 
.....Mkuu mshana usimfiche wife mwambie ukweli akija juu kwa juu mazawadi kibao out la nguvu akituwa chini kashapowa!!!

allegation za ajabu mno wee acha nitafanya kweli sasa! lazima nikakule, hii si haki mtoto anasema kateleza wapambe wakiongozwa na mjumbe na baba wanamlazimisha akubali kuwa nilimminya ukutani pale kona ya mtaa nikampa mzizi nikamharibu USICHANA wake! hii sio haki hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…