American Election 2016: Kicks off in Lowa

Don't get ahead of yourself now.

I have no dog in this fight.

So don't make an ass of yourself because when you assume things that's what you end up doing.

Rubio is not my blond.

I think you took it in a "wako=gay" kinda way. I meant it as a "fav candidate" kinda way, since ulimsifia sana nyuma huko. Or so, I assumed.

So Relax. Nisome vizuri. Mimi siyo mgomvi mgomvi. I avoid that like a plague jamvini.

Tukirudi kwenye uchaguzi, sioni mtu aliyo na experience kama Hillary.
 
Hapana, sikumsifia. Nilielezea tu kwamba namwona ndiye mtu ambaye anaweza kumpa ushindani Hillary kuliko wenzake akina Cruz na Trump.

Huko siyo kumsifia. Kama ungenisoma vizuri bila preconceived notions pengine ungenielewa nilichokuwa nazungumzia.

Safari ijayo usisadiki. Siyo vizuri. Ni bora kuuliza kuliko kusadiki ili kuepuka kufikia mahitimisho yasiyo.

Tukirudi kwenye uchaguzi, naona kumbukumbu yako ni fupi.

Hivi Obama alikuwa na tajiriba gani hasa hadi kuweza kumbwaga huyo Hillary wako kwenye mchujo na kumbwaga seneta McCain kwenye uchaguzi mkuu?

Jamaa hata muhula wake wa kwanza alikuwa hajaumaliza kwenye bunge la seneti. Lakini akawabwaga hao wote waliokuwa na tajiriba [=experience].

Hivi unajua kwamba hata Joe Biden alikuwepo kwenye kinyang'anyiro cha mchujo wa Democrats mwaka 2008? Tajiriba ya Obama 2008 ilikuwa ya kulingana na Biden?

Kwa hiyo labda uje na hoja nyingine. Lakini hiyo ya tajiriba haina mashiko kabisa.

Wamarekani wameshaonyesha kwamba huwa hawampigii mtu kura kisa tu eti ndiye mwenye tajiriba kumzidi mwenzake au kuwazidi wenzake.

Ila, pengine labda mimi sijui. Hivyo unaweza kunieleza tajiriba aliyokuwa nayo Obama ambayo ilimzidi Hillary na John McCain.

Yangu macho [na masikio].
 
Kwanza, samahani kama umeudhika kwa lolote. It's not my intention to pick fights with people here.

Turudi kwenye uchaguzi.

Mazee, kwenye siasa kila kitu kinaweza kutokea.

Wewe na Mimi ni outsiders. Hujui kule ndani walikuwa na mazungumzo gani mpaka maamuzi kufanyika kumpa Obama nafasi.

Hillary alipewa Uwaziri wa nchi za nje. Hatuwezi kujua ili wampoze au kupata uzoefu wa kazi kumsaidia baadae.

Naamini kama ni kiongozi dhaifu, asingepewa kazi muhimu kama hiyo.

Wamarekani hawawezi kumpigia kura mgombeaji anayotaka kufukuza watu na kukata matumuzi yanayowagusa wananchi wa hali ya chini na ya kati. Wanataka serikali itumie pesa katika uchumi siyo kubana matumizi kama siasa za Tembo inavyoamini.

Tembo wataingia ikulu, lakini siyo mwaka 2016. Muda wao bado, ngoja uchumi ukue zaidi na watu wapate kazi zaidi, wanunue nyumba zao badala ya kuomba basement ya wazazi kujihifadhi. Watu wanataka green card wasitenganishwe na familia zao.

Siasa za Marekani ni ngumu. Bush Sr., alipewa red card, Jimmy Carter vile vile. Anaweza kuingia Hillary na kuondoshwa vile vile.

Novemba siyo mbali, tutapata majibu kama Hillary anaweza ngoma au la. At least for the first term.

Mimi nasema ndiyo.
 
Turudi kwenye uchaguzi.

Hamna neno. Twende kazi sasa.

Mazee, kwenye siasa kila kitu kinaweza kutokea.

Ni kweli. Chochote chaweza kutokea kwenye siasa. Nani alidhani kwamba Obama angeisambaratisha Clinton machine mwaka 2008? Team Clinton walikuwa hata hawana plan beyond Super Tuesday. Wote tunajua kilichotokea baada ya hapo.

Nakumbuka mama baada ya kuangushwa Iowa alipoenda NH akalia. Unakumbuka ile?

And just an FYI, mwaka 2008 hakuna mtu aliyekuwa pro-mama zaidi yangu humu. Kama ukiweza utafute ule uzi wa uchaguzi wa mwaka 2008.

Wewe na Mimi ni outsiders.

Ni kweli. Sisi [au kwa mahsusi nijiongelee mwenyewe] tunajadili tu kutoka kwenye mtazamo wa mbali.

Hujui kule ndani walikuwa na mazungumzo gani mpaka maamuzi kufanyika kumpa Obama nafasi.

Ngoja kwanza. Hivi Obama hiyo nafasi ya kugombea urais 'alipewa' tu au alichaguliwa na wanachama wa chama chake cha Democrats? Manake mi nijuavyo ni kwamba wagombea wanashindana kwa hoja mbele ya wanachama wao halafu wanachama ndo wanaamua wanamtaka nani kwa kupitia njia ya kidemokrasia, kupiga kura.

Sasa Obama alipewa hiyo nafasi? Ina maana tulikuwa tunadanganywa tu kuhusu mchakato mzima wa kumpata mgombea wa chama chao? Au unamaanisha nini unaposema alipewa?

Hillary alipewa Uwaziri wa nchi za nje. Hatuwezi kujua ili wampoze au kupata uzoefu wa kazi kumsaidia baadae.

Ni kweli. Mama aliteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje na akathibitishwa na Congress. Wadadisi wa mambo walikitafsiri kitendo kile kuwa ni cha kuleta maelewano kwenye chama chao baada ya mchuano mkali sana wa kumpata mgombea wao. Hivi unakumbuka kuwa ilifikia kipindi team Obama wakawa wanasema kwamba Bill Clinton ni racist? Hukumsikia Bill Clinton aliposema 'they played the race card on me'?

Unakumbuka jinsi mama alivyosema 'shame on you Barack Obama'?

Hebu bofya hiyo video ujikumbushe kidogo jinsi mambo yalivokuwa.

Naamini kama ni kiongozi dhaifu, asingepewa kazi muhimu kama hiyo.

Well, mbona John Kerry sasa hivi ndo secretary of state na kwenye uchaguzi wa 2004 na alibwagwa na W? Kwa hiyo sidhani kama udhaifu ni hoja inayohusika hapa. Au pengine labda sijakuelewa?

Wamarekani hawawezi kumpigia kura mgombeaji anayotaka kufukuza watu na kukata matumuzi yanayowagusa wananchi wa hali ya chini na ya kati. Wanataka serikali itumie pesa katika uchumi siyo kubana matumizi kama siasa za Tembo inavyoamini.

Hiyo ya kufukuza watu si kwamba wanaofukuzwa ni watu wasio na hatia. Ni watu waliovunja sheria. Nitajie nchi ambayo huwa haifukuzi wahamiaji haramu? Kwa taarifa yako, kama ulikuwa hujui, hata Mexico huwa inafukuza wahamiaji haramu. Hata Tanzania.

Nadhani ikija kwenye wahamiaji haramu hata kura za maoni zinaonyesha kwamba majority ya Wamarekani wanaunga mkono sheria zifuatwe.

Halafu, narudia tena, kama kweli sera za GOP zingekuwa mbaya kama ambavyo unavyoamini au unavyodhani, basi kwa hakika hata huko kwenye ma governors mansions wangekuwa ni wachache sana kutoka kwenye hicho chama.

Lakini sasa hivi wao ndo wako wengi zaidi. Kwenye seneti nako wako wengi zaidi. Hata kwenye house of representatives wako wengi zaidi [ingawa unadai sijui huko walifanya ujanja ujanja].

Huduma nyingi za jamii kwa Marekani zinatoka kwenye local na state governments. Sasa kama kweli hao jamaa ni wabaya kihivyo inakuwaje wanatawala kwenye majimbo 31 kati ya 50? Dems sasa hivi wanashikilia majimbo 18 tu. How come?

Tembo wataingia ikulu, lakini siyo mwaka 2016.

Sawa, tutaona mwezi novemba. Siyo mbali kivile. Ila kumbuka tu kwamba chaguzi za Marekani huwa zinafuata mwenendo wa kupokezana. Kama sijakosea, katika karne iliyopita ni mara moja tu ambapo rais wa kutoka chama tawala alirithiwa madaraka na rais wa kutoka chama chake. Kwa kufuata mkondo huo wa kihistoria utaona basi kwamba mwaka huu GOP ni wao [ingawa kiuhalisia haina maana kwamba ndo watashinda].

Muda wao bado, ngoja uchumi ukue zaidi na watu wapate kazi zaidi, wanunue nyumba zao badala ya kuomba basement ya wazazi kujihifadhi. Watu wanataka green card wasitenganishwe na familia zao.

Sawa, kama watu wanataka kadi za kijani kwa nini wasitumie taratibu za kisheria zilizopo? Kuna watu kibao ambao wako kwenye mstari wakisubiri zamu yao lakini kuna wengine wanaotumia njia mkato. Kuna haja gani sasa ya kuwa na sheria kama zilizopo hazifuatwi?

Siasa za Marekani ni ngumu. Bush Sr., alipewa red card, Jimmy Carter vile vile. Anaweza kuingia Hillary na kuondoshwa vile vile.

Hii ni kweli kabisa. Bush Sr. baada ya Desert Storm approval rating yake ilifikia sijui asilimia 91 au 92 mwaka 1991. Lakini mwaka ulofuatia akabwagwa.

Novemba siyo mbali, tutapata majibu kama Hillary anaweza ngoma au la. At least for the first term.

Mimi nasema ndiyo.

Hahahaaaaa usije tu kuumwa ukiona electoral college votes hazitoshi hiyo jumanne ya kwanza ya mwezi novemba.

Tuombee uzima tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hamna neno. Twende kazi sasa.

Ni kweli. Chochote chaweza kutokea kwenye siasa. Nani alidhani kwamba Obama angeisambaratisha Clinton machine mwaka 2008? Team Clinton walikuwa hata hawana plan beyond Super Tuesday. Wote tunajua kilichotokea baada ya hapo.

Nakumbuka mama baada ya kuangushwa Iowa alipoenda NH akalia. Unakumbuka ile?

And just an FYI, mwaka 2008 hakuna mtu aliyekuwa pro-mama zaidi yangu humu. Kama ukiweza utafute ule uzi wa uchaguzi wa mwaka 2008.

Ni kweli. Sisi [au kwa mahsusi nijiongelee mwenyewe] tunajadili tu kutoka kwenye mtazamo wa mbali.

Ngoja kwanza. Hivi Obama hiyo nafasi ya kugombea urais 'alipewa' tu au alichaguliwa na wanachama wa chama chake cha Democrats? Manake mi nijuavyo ni kwamba wagombea wanashindana kwa hoja mbele ya wanachama wao halafu wanachama ndo wanaamua wanamtaka nani kwa kupitia njia ya kidemokrasia, kupiga kura.

Sasa Obama alipewa hiyo nafasi? Ina maana tulikuwa tunadanganywa tu kuhusu mchakato mzima wa kumpata mgombea wa chama chao? Au unamaanisha nini unaposema alipewa?

Ni kweli. Mama aliteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje na akathibitishwa na Congress. Wadadisi wa mambo walikitafsiri kitendo kile kuwa ni cha kuleta maelewano kwenye chama chao baada ya mchuano mkali sana wa kumpata mgombea wao. Hivi unakumbuka kuwa ilifikia kipindi team Obama wakawa wanasema kwamba Bill Clinton ni racist? Hukumsikia Bill Clinton aliposema 'they played the race card on me'?

Unakumbuka jinsi mama alivyosema 'shame on you Barack Obama'?

Hebu bofya hiyo video ujikumbushe kidogo jinsi mambo yalivokuwa.

Well, mbona John Kerry sasa hivi ndo secretary of state na kwenye uchaguzi wa 2004 na alibwagwa na W? Kwa hiyo sidhani kama udhaifu ni hoja inayohusika hapa. Au pengine labda sijakuelewa?

Hiyo ya kufukuza watu si kwamba wanaofukuzwa ni watu wasio na hatia. Ni watu waliovunja sheria. Nitajie nchi ambayo huwa haifukuzi wahamiaji haramu? Kwa taarifa yako, kama ulikuwa hujui, hata Mexico huwa inafukuza wahamiaji haramu. Hata Tanzania.

Nadhani ikija kwenye wahamiaji haramu hata kura za maoni zinaonyesha kwamba majority ya Wamarekani wanaunga mkono sheria zifuatwe.

Halafu, narudia tena, kama kweli sera za GOP zingekuwa mbaya kama ambavyo unavyoamini au unavyodhani, basi kwa hakika hata huko kwenye ma governors mansions wangekuwa ni wachache sana kutoka kwenye hicho chama.

Lakini sasa hivi wao ndo wako wengi zaidi. Kwenye seneti nako wako wengi zaidi. Hata kwenye house of representatives wako wengi zaidi [ingawa unadai sijui huko walifanya ujanja ujanja].

Huduma nyingi za jamii kwa Marekani zinatoka kwenye local na state governments. Sasa kama kweli hao jamaa ni wabaya kihivyo inakuwaje wanatawala kwenye majimbo 31 kati ya 50? Dems sasa hivi wanashikilia majimbo 18 tu. How come?

Sawa, tutaona mwezi novemba. Siyo mbali kivile. Ila kumbuka tu kwamba chaguzi za Marekani huwa zinafuata mwenendo wa kupokezana. Kama sijakosea, katika karne iliyopita ni mara moja tu ambapo rais wa kutoka chama tawala alirithiwa madaraka na rais wa kutoka chama chake. Kwa kufuata mkondo huo wa kihistoria utaona basi kwamba mwaka huu GOP ni wao [ingawa kiuhalisia haina maana kwamba ndo watashinda].

Sawa, kama watu wanataka kadi za kijani kwa nini wasitumie taratibu za kisheria zilizopo? Kuna watu kibao ambao wako kwenye mstari wakisubiri zamu yao lakini kuna wengine wanaotumia njia mkato. Kuna haja gani sasa ya kuwa na sheria kama zilizopo hazifuatwi?

Hii ni kweli kabisa. Bush Sr. baada ya Desert Storm approval rating yake ilifikia sijui asilimia 91 au 92 mwaka 1991. Lakini mwaka ulofuatia akabwagwa.

Hahahaaaaa usije tu kuumwa ukiona electoral college votes hazitoshi hiyo jumanne ya kwanza ya mwezi novemba.

Tuombee uzima tu.

Naona umetumia muda wa kutosha kunijibu kwa kirefu.

Nashukuru kwa muda wako.

Nadhani siyo sehemu zote, tutaelewana, lakini ndiyo uzuri wa kuelimishana hapa. Kila mtu ana haki ya maoni yake.

Kuna vitu vingine unafikiria zaidi kupita kiasi. Nikisema Obama "amepewa" nafasi, simaanishi kuwa hajagombania kwa jasho lake, ila amepewa kura na wananchi. Wamemwona anafaa zaidi kuliko Hillary.

Naomba nikujibu kifupi kwa leo.

Magavana na viongozi wingine wanakuja na kuondoka. Wawe GOP au Democrats. Leo ni zamu ya GOP.

Obama kamchagua Biden kwa sababu kwa wakati huo, alikuwa hana uzoefu na siasa za kimataifa, DC politics bado hazijui kama Biden na alitaka swing votes katika majimbo ambae Biden anajulikana.

McCain kakosea step kumchukua Sarah Palin katika ticket. Uzee wake na ujinga wa Palin ulimponza. Pia, muda wa GOP ulikuwa umeisha. Watu wamewachoka.

Pia, kama ulivyosema, siasa inabadilika na kwenda kwa zamu. Mara Tembo, mara Pundamilia katika ofisi. Wakati wa Pundamilia ulifika, na watu walitaka kuona mabadiliko. Wakamchagua Obama.

Kuhusu watu kupinga "undocumented" folks, nakubali kabisa. Lakini inakuwa vigumu kuwafukuza wale waliozaa tayari.

Moja, ni huruma ya kibinadamu. Familia zitatengana.

Mbili ni siasa. Watoto wao ni wakubwa na raia kamili na wamejiandikisha kwa wingi kupiga kura. GOP wanataka wasio na haki waondoke kwa kuwa wengi kama wakipata haki ya uraia, watakuwa Democrats.

Tatu, uchumi unategemea hawa cheap labors. Siamini kama serikali haijui wanakaa wapi au wanashindwa kuwaondoa kwa nguvu. (Wana uwezo wa kunasa mawasiliano ya aina yote).
Wakiondolewa, wananchi wengi hawawezi kufanya kazi zao za kuchuma matunda, kusafisha vyumba vya hoteli na kulea watoto.
Walijaribu miaka ya nyuma lakini wanashindwa kupata wafanyakazi walipotangaza ajira za kilimo na mifugo katika magazeti ya Alabama na Iowa. Kazi ngumu, pesa ndogo.

Nne, wanasiasa wanapenda kuwatumia Illegals kama punching bags. Wanaonekana "tough" kwa wapiga kura. Lakini ikiisha kampeni, maisha yanaendelea.

Hamna urafiki katika siasa za huko. Watatumia njia yoyote kupata kura. Urafiki ni wa maneno tu. Kama strategist akisema tukifanya hivi, tutapata kura zaidi, wanasiasa wanafuata. Wakati wa mapambano ya kutafuta kura, wanapenda kuchafuana majina.

So, I am not surprised when Hillary said "Shame on you" to Obama while Obama camp called Hillary's anger as "tactical".

Leo marafiki, Hillary kapewa Uaziri na top campaign strategists wa Obama sasa wameajiriwa na Hillary.

Politics is a dirty game.

Nitaishia hapa kwa leo.

Tuendelee siku nyingine. Ahsante.
 
Wakuu this's a helluva darasa!
 
Trump ataendana na wasema ovyo wengine duniani kweli?, hapa anamsemea ovyo Jeb Bush baada ya Jeb kumpeleka mama yake NH wa campaign pamoja.

✔@realDonaldTrump

Just watched Jeb's ad where he desperately needed mommy to help him. Jeb --- mom can't help you with ISIS, the Chinese or with Putin.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tonight's NH primary is done and dusted, quick!

Donald Trump is the runaway winner on the GOP side.

Bernie Sanders crushed Hillary Clinton. This time not even a coin-flip could save her. Sen. Sanders is the outright winner.

Both races have been called.

The only interesting aspect of this primary is who comes in second, third, and maybe fourth in GOP.

Sen. Rubio seems to have suffered from his debate performance last Saturday.

Gov. Christie really put it on him and by the looks of it he blunted his momentum.

But those attacks appear to not have helped him [Christie] because he is coming in sixth.

Now we're onto South Carolina.......
 
  • Thanks
Reactions: kui
According to the Washington Post, Trump, Sanders projected to win the New Hampshire Primary.

The Republican NH primary results come with a little suprise. 1.Trump 2. Kasich 3. Cruz 4. Bush 5. Rubio

Hillary Clinton defeat in NH have been expected as Hillary's campaign conceded immediately after the polls closed.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hillary Clinton defeat in NH have been expected as Hillary's campaign conceded immediately after the polls closed.

Trump's win was a foregone conclusion as well and that's why both races were called pretty early.
 
Tonight's NH primary is done and dusted, quick!

Donald Trump is the runaway winner on the GOP side.

Bernie Sanders crushed Hillary Clinton. This time not even a coin-flip could save her. Sen. Sanders is the outright winner.

Both races have been called.

The only interesting aspect of this primary is who comes in second, third, and maybe fourth in GOP.

Sen. Rubio seems to have suffered from his debate performance last Saturday.

Gov. Christie really put it on him and by the looks of it he blunted his momentum.

But those attacks appear to not have helped him [Christie] because he is coming in sixth.

Now we're onto South Carolina.......

Kasich and Bush, what a suprise!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ben Carson anashikilia mkia? Maskini dokta Carson...baada ya leo nadhani anaweza ku drop out....
 
Trump's win was a foregone conclusion as well and that's why both races were called pretty early.

Jamani Hillary!, Iowa and then this?!!, will she be able to pull this off?!, at least rebound?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani Hillary!, Iowa and then this?!!, will she be able to pull this off?!, at least rebound?

Yeah I think she will in SC.

But here is a little nugget of information that I find to be very interesting.

Bernie Sanders beat Hillary in the women's vote by 11 percentage points.
 
Yeah I think she will in SC.

But here is a little nugget of information that I find to be very interesting.

Bernie Sanders beat Hillary in women's vote by 11 percentage points.

Yeah!, he's been in the lead with women voters, I think since Iowa, kinda weird!
Looks like she doesn't resonate well with them, for whatever the reason is.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yeah!, he's been in the lead with women voters, I think since Iowa, kinda weird!
Looks like she doesn't resonate well with them, for whatever the reason is.

For some reason Senators Sanders is growing on me.

I like a lot of what he stands for.

And they say he is raising oodles of money which could enable him to stay very competitive.
 
Back
Top Bottom