Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,473
CCM ni wahuni wanajifanya nchi ni yao peke yaoKwanini amkate mwenzie kibao?
Sasa kama mtu analeta ujinga kwenye maslahi ya wananchi dawa ni nini? na hasa ukizingatia kwamba hata ukimpeleka polisi ni kazi bure maana polisi na yeye ni kambi moja.Kwanini amkate mwenzie kibao?
Sasa kama mtu analeta ujinga kwenye maslahi ya wananchi dawa ni nini? na hasa ukizingatia kwamba hata ukimpeleka polisi ni kazi bure maana polisi na yeye ni kambi moja.
Kwanini amkate mwenzie kibao?
Hao watu Sumbawanga salute kwao. Wamenitia nguvu , halafu kijani wa Lumumba watasema ni wa Kaskazini!!
Ni Kamanda Ameri Nkulu(56) aliyehukumiwa kwenda jela miezi 6,siku 2 kabla ya uchaguzi wa Octoba.Sasa ni diwani wa kata ya Lusaka Sumbawanga.Kamanda huyo bado yupo jela na ataapishwa baada ya hukumu kuisha.Kamanda alihukumiwa kwa kumkata vibao kiongozi wa CCM Kristian Kafwimbi

Criminal kawa diwani! Waliomchagua wapimwe akili. Halafu, kwa nn mashabiki wengi wa chadema ni wavuta bangi, wanywa gongo, bodaboda wenye asili ya ukibaka, wahuni na wauza miili yao, magaidi, na majambazi?
Pinda alishasema wapigwe tu, maana hakuna namna nyingine tena, mtu kama anakaidi atapigwa tu. Kamanda alikuwa anatekeleza agizo la mheshimiwa Pinda.Kwanini amkate mwenzie kibao?