Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,925
Kijana Jonathan Daniel Mziray mwenye umri wa miaka 33 (pichani) amepotea ghafla siku ya Jumapili tarehe 10 mwezi wa kwanza. Mara ya mwisho Jonathan alikuwa kanisani Kinondoni.
Kama ukimuona au kama una taarifa yoyote mahali alipo tafadhali piga simu 0754275470 au wasiliana na kituo chochote cha polisi.