Amepata E 3..anaweza soma degree?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.
 
Duh huyo labda asome kadiploma au aende hapo VETA akapate kaujuzi hata ka kuanzisha kiwanda cha vyerehani..
 
Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.
Kupata degree moja kwa moja hapa nchini haiwezekani kwani TCU wanataka lazima uwe na point 4 kwa masomo mawili. Hivyo huyu afanye Diploma au asome Foundation ya Open University kwa mwaka mmoja akifaulu ndio achukue degree au arudie mtihani wa form 6 masomo yote 3. Kwa nje ya nchi acheck na watalaam kama Global Education Link (google utapata contact zao).
 
Msaada ndugu zangu kuna dogo wangu ana matokeo haya Phy-E Chem-D Bio-D anaweza kupata chuo kijana kama huyu?

Halafu programme gani za degree anaweza kupata kirahisi.
Naomba majibu wadau.
 
Nje ya nchi mkuu hawacomplicate hata std 7 ukiisupport unaenda
 
Msaada ndugu zangu kuna dogo wangu ana matokeo haya Phy-E Chem-D Bio-D anaweza kupata chuo kijana kama huyu?

Halafu programme gani za degree anaweza kupata kirahisi.
Naomba majibu wadau.
Anapata mwambie afanye application vyuo ambavyo havina ushindani sana.
 
Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.
Huyu hawezi kupata, tena HGL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…