Ameota nafanya nae mapenzi, ushauri wakuu

Ameota nafanya nae mapenzi, ushauri wakuu

J2 mkitoka kanisani kamrande kisawa sawa. Weka mazingira sawa. Suala la kuwa mke litakuja baadae
 
Koooh! kooooh! kooooooh! *swallows spit and goes back to bed quickly!*:sleepy::sleepy::sleepy:
 
waname bwana ukirahisishiwa unaona hafai kuwa mke ... muhimu we sasa hapo ndiyo uunge umwambie kuwa nakupenda sana nashindwa kukwambia .... yani badala ulale unapata wapi dill kesho unalala unawza utampata lini funguka akikataaa ujue uendelee na misele mingine acha woga......
 
oooooopsss......!!!

ndoto nzuri huisha ukiamka

muulize kama ameshaamka asije akapata mimba ndotoni bure ikawa yako
 
Alishagundua kuwa unampenda lakini unasita. Ni njia ya kukurahisishia mchakato. We mwambie kumbe unaweza kuwa unamuwaza mtu naye huku anakuwaza. Sema hata mi nashindwa kuamini maana hata mi nilishawahi kukuota nikawa nasita kukuambia na hilo huwa halikai likanitoka kwenye fikra zangu. Naona hiyo itakuwa ni mipango ya mungu kutukutanisha. Malizia na sentensi nakupenda sana. mkionana mtakuwa mnaongelea hatua nyingine. Hata hivyo hongera in advance maana pamoja na kwamba ushafanya kosa la kuchelewa kumjibu.
 
Yaani ntu ka weye huna tofauti na yule anayeshikiwa kuweka ulimbo
 
Mwanaume mwenye nguvu zake kiunoni hana time ya kuomba ushauri wa ndoto nzuri kama hiyo!!!!!!!!
Uanaume wako uko wapi??????????????????
 
waname bwana ukirahisishiwa unaona hafai kuwa mke ... muhimu we sasa hapo ndiyo uunge umwambie kuwa nakupenda sana nashindwa kukwambia .... yani badala ulale unapata wapi dill kesho unalala unawza utampata lini funguka akikataaa ujue uendelee na misele mingine acha woga......

poa poa ngoja nitakuja na jibu! Liwe baya au zuri nitalileta mezan
 
Tatizo kaona unamcheleweshea mtongozo, so kakufungulia njia. We mpendwa wa wapi aote unampa mambo afu akwambie eti ulivyompa raha ndotoni, instead of kuikemea hiyo ndoto??. Fungukaaaaa
 
Kuna uwezekano hajaota kabisa hila hiyo ndio njia ya ,kuonesha ana kupenda! Kazi ni kwako!
Ni kweli hujui cha kufanya? Basi mwambie nakupenda!
 
oooooopsss......!!!

ndoto nzuri huisha ukiamka

muulize kama ameshaamka asije akapata mimba ndotoni bure ikawa yako

tehe tehe tehe tehe tehe tehe..................................
 
Back
Top Bottom