Kumbe mtu akifa wanapima hilo?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hapa ndio unatakiwa kutumia akili yako kukagua cha kukisema na kukizungumza
Sio kila unalolisikia lazima ulibebe likajadiliwe mbele ya hadhira ya watu
Hamna hata heshima kwa watu waliokwisha tangulia, tena watu wazima umri wa kuwazaa na kuwajukuu?
Ni ukosefu wa mantiki tu kutuletea hapa jina na kazi ya mtu aliyekufa ukaunganisha na hali yake ya ubikiraTunazungumzia jinsi alivyomwaminifu kwa Mungu mpaka ameondoka na bikra yake.
Ni ukosefu wa mantiki tu kutuletea hapa jina na kazi ya mtu aliyekufa ukaunganisha na hali yake ya ubikira
Kwanza, hamna hata heshima ya kuelewa kwamba kama aliishi maisha yake yote kwa kujistiri kwa ajili ya Mungu, mnachokifanya hapa ni kumvua nguo akishakuwa amekufa
Na walau basi mngelikuwa hata na hakika na mnachokisema, ni story tu za vijiweni
Unachokifanya hapa ni kutaka mama huyo avuliwe nguo akiwa keshakufa kwa wewe kujihusisha yasiyo kuhusu
Tunazungumzia jinsi alivyomwaminifu kwa Mungu mpaka ameondoka na bikra yake.
im i missing somethin mbona sijaona jina au imekuwa editedNi ukosefu wa mantiki tu kutuletea hapa jina na kazi ya mtu aliyekufa ukaunganisha na hali yake ya ubikira
Kwanza, hamna hata heshima ya kuelewa kwamba kama aliishi maisha yake yote kwa kujistiri kwa ajili ya Mungu, mnachokifanya hapa ni kumvua nguo akishakuwa amekufa
Na walau basi mngelikuwa hata na hakika na mnachokisema, ni story tu za vijiweni
Unachokifanya hapa ni kutaka mama huyo avuliwe nguo akiwa keshakufa kwa wewe kujihusisha yasiyo kuhusu
im i missing somethin mbona sijaona jina au imekuwa edited
Mungi
Kuondoka na bikira si kigezo tosha kuwa alikuwa muaminifu.
Je mlimpima na mlango wa nyuma kama ulikuwa "LOCKED"??.
NB:
Kwa huo umri wake kufa pasipo kutoa tunda la uhuru, kunaacha maswali mengi.