Amenunua miezi sasa!

Amenunua miezi sasa!

Salve

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
29
Reaction score
1
Wapendwa wana jamii naomba nifike kwenu japo kwa neno la faraja na ushauri maana mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka miwili sasa...takribani miezi miwili kuna siku nilimshauri tabia ya kupenda pombe kama mtoto wa kike kuwa si njema...si bia moja au mbili bali ile ya kulewa tirarira...sasa baada ya maneno hayo amenuna na wala hataki mawasiliano na mimi...wanajamii ushauri au hata neno la nini nifanye katika mazingira haya.
 
Hafurahii kuwa na wewe; that's all l can say for now.
 
ww ndo una uamuzi kwa sababu huyo ndo sijui future wife au lah kama tabia ndio hiyo mmmmmh hali itakua tete mkifikia hatua ya kujenga familia,muite mueleze kinagaubaga umpe muda achekeche ubongo wake aamue kati ya kukusikiliza ww na pombe nn kinamfaa zaidi,akitambua kipi ni cha muhimu atachagua yeye,simple like that usijeshangaa mama kajikojolea na mtoto kajikojolea sijui utamsaidia nani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haipendezi kwa mtu kulewa tilalila, tena kwa mwanamke ni aibu kubwa sana. Kama anakasirika ukimwambia ukweli ujue kua hana mpango wa kuacha hiyo tabia, hivyo kama unaona haiwezekani kuacha tafuta mwenye sifa nzuri au ndiye anayekuweka mjini mkuu?
 
Ni mpenzi tu! Je akipanda cheo akawa Mke! Chukua hatua&tafakari
 
ww ndo una uamuzi kwa sababu huyo ndo sijui future wife au lah kama tabia ndio hiyo mmmmmh hali itakua tete mkifikia hatua ya kujenga familia,muite mueleze kinagaubaga umpe muda achekeche ubongo wake aamue kati ya kukusikiliza ww na pombe nn kinamfaa zaidi,akitambua kipi ni cha muhimu atachagua yeye,simple like that usijeshangaa mama kajikojolea na mtoto kajikojolea sijui utamsaidia nani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tHANKS KWA USHAURI MZURI HUU
 
haipendezi kwa mtu kulewa tilalila, tena kwa mwanamke ni aibu kubwa sana. Kama anakasirika ukimwambia ukweli ujue kua hana mpango wa kuacha hiyo tabia, hivyo kama unaona haiwezekani kuacha tafuta mwenye sifa nzuri au ndiye anayekuweka mjini mkuu?
kabisa mkuu...umenena
 
Wewe au yeye nyote hampaswi kutumia hiyo bidhaa.
Ole wake mtu yule ampaye jirani yake kilevi....
 
Ni mpenzi tu! Je akipanda cheo akawa Mke! Chukua hatua&tafakari

i thought ni mwanamke anaomba ushauri kuhusu mumewe?kiukweli hata mm ningekasirika,wife hawezi kunilinganisha na mtoto wa kike nikamchekea!!!tofauti yangu na huyo jamaa yake ni kuwa me ningetembeza kichapo hapo hapo na kumaliza hasira zangu then maisha yanaendelea!
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe......kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe....kamanda umeshaupima uzito wa msalaba wako...uko tayari kuubeba????Katika shida na raha????
 
Mkuu sitauweza huu bora nichape mwendo kabla ya hatari...thanks kwa ushauri
 
Wapendwa wana jamii naomba nifike kwenu japo kwa neno la faraja na ushauri maana mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka miwili sasa...takribani miezi miwili kuna siku nilimshauri tabia ya kupenda pombe kama mtoto wa kike kuwa si njema...si bia moja au mbili bali ile ya kulewa tirarira...sasa baada ya maneno hayo amenuna na wala hataki mawasiliano na mimi...wanajamii ushauri au hata neno la nini nifanye katika mazingira haya.

Inaonekana ameona hamuendani na ametafuta wanae endana nae:
we achana nae, huyo ni mwanamke wa ajabu na hataki hata ushauri.
 
Back
Top Bottom