Ameniomba elfu 50, nimemwambia nimchakate miezi miwili ndipo nimkabidhi

Why should you punish like that?
Kama unataka kumsaidia we msaidie na Kama hautaki Basi mpotezee tu atafute njia nyingine
 
Naridhika na shida zangu

haya mambo ya kupigwa miti eti ndo upewe hela au eti niifate gheto kwangu hapana na nishajiapiza heri nibaki sina tu sio dhambi😅😅😅

Mtoa mada uzuri wa maisha hayachoki kukusapraizi ipo siku yako nakuambia🤗
 
mademu wa uswahilini tunawaita utumbo hao wanagawa kwa kila mtu usije pata dem uswahilini ukajisifia nimeopoa mtoto mkali wahuni washajishindia bure bure. uswahilini kuna mambo mengi na madem wanapenda vitu vidogo sana imagine demu wa uswahilini anadata ma mlio wa pikipiki anakupa mbisusu na anakuambia kabisa nkikuona unaendesha pikipiki lako naenjoy hvi hapo utasema kuna dem kweli
 
Nauli kalipiwa 500, viungo vyake vya mwili kalipwa 800/900, Gonjwa la zinaa anapewa bonus kama lipo. Umasikini mbaya sana.
 
Kuja ukimwi,kaswende na homa ya ini kuwa makini
 
Huyo mbona gharama sana...mbususu siku hizi BUKU TUU!!!
buku mbona ghali zipo za bure tunaita mdondo tunaotembea usiku tunaziokota sana ilimradi uwe na usafiri wako na usiwe na mtu mwingine kuepusha jam
 
Unajichumia mikodi itakayotafuna mpaka kizazi chako cha tatu.
Niamini mimi, binti zako watafanyiwa hibyo
 
Ww na huyo dem wako wote nusu kasoro robo...... Ila kua makini usije ikawa unaliwa ww badala ya yeye
 
Huyo Amekutongoza ukajaa!! ndo wanavyotongozaga wanawake!! yeye ndo mshindi humo humo mbusus anaijaza midawa basi utaona ni tamuuuu!! limbwata linakukolea tu!! mwisho wasiku unatangaza ndoa!

Demu ndo mshindiiiiiii!!..safi sana wao hawa tongozagi km wanaume!...huna ufahamu weyey…..weye ndo jinga jingiliji!! …...huyo ungekuwa smart ungempa hizo hela halafu unampotezea then unamsikilizia !.....

km kismart iko!! unajisogeza karibu akiomba tena unmpa tuuuu!! mpaka unagumika kishenzy

siku ya siku ikifika na amekuzoea anakupa mahali ya kumtolea kwao yeye binafsi! kupitia hela zako hizo hizo! unaoa kiulainiiiii!! na faida juu!! anakutunza anakuwowa halafu raha sana kuwolewa na mwanamke!!

kwanza hakufanyii limbwata!! hakudhurumu!! hata ukienda ulaya ukirudi unamkuta!! hata ukioa huko yeye haolewi ng'oo!.....atafanya juu chini urudi salama!! akikufinya/akikutukana/akichelewa kurudi/akizini huko bahati mbaya analia yeye!na kutubu/akitongozwa anakwambia kila kitu...yaani utapata raha mpaka uzimie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…